90 Minutes in raid on Entebbe: Tukio la ukombozi wa mateka wa Israel Nchini Uganda - THUNDERBOLT

Yeah hii mission ilikuwa ya ukweli sana. Hivi wamarekani washawahi kutekewa ndege wakaenda okoa hostages nchi yoyote? Au waishia kutengeneza movies tu za missions kama hizi?
Unaweza kuwa na soft copy ya hiki kitabu? [emoji1488]
 
Mkuu idadavue hii

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Donluchesse kuna watu unawaumiza sana kwa kuwaonyesha uwezo wa Taifa la Kiyahudi wao wanataka uwasifie Al Shabbab, Osama, Hamas, nk. Ila ukweli utabaki hivyo kua The State of Israel will keep knocking their unrealistic wishes to ashes.
Wayahudi ni Habari nyingine kabisa,hawa watu ni wabishi mno huwa hawakubali kushindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…