900 Itapendeza yapata mpinzani naye ni Expansion Joints, je nani mkali?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Sekta ya majengo inatupa raha sana hapa bongo, ametoka 900 itapendeza sasa kaingia Expansion Joints yaani full shangwe!! Je, nani ataibuka kidedea?.......alamsiki!
 
900 itapendeza zaidi expansion joint hazina mvuto kabisa
 
Expansion joints kwa bilioni 10 itapendeza zaidi!
 
Expansion joint sio swala la kufanyia mzaha.
Mkuu hakuna anayefanya mzaha ila tunajifunza kitu, baada ya 900 itapendeza minada ya serikali imeboreshwa. Juzi TRA wametangaza mnada kuna maboresho kibao ikiwemo kulipa 25% baada ya nyundo ya dalali kutua chini na kumalizia salio ndani ya masaa 48. Na hili la Joints lazima litaleta maboresho chanya katika sekta ya uhandisi ndio tupo kujifunza sasa sijui wewe mizaha unaitoa wapi?
 
Expansion joints (jina zuri sana kulitumia mtu akifungua chain of restaurants au bars)
 
Expansion joint sio swala la kufanyia mzaha.
Tuna watanzania wapumbavu sana suala LA nyufa wao wanalifanyia mzaha wakati MTU kaamua kuonyesha mapinduzi ya kumfunga paka kengere

Vijana hawa wa hovyo sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…