johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sekta ya majengo inatupa raha sana hapa bongo, ametoka 900 itapendeza sasa kaingia Expansion Joints yaani full shangwe!! Je, nani ataibuka kidedea?.......alamsiki!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hakuna anayefanya mzaha ila tunajifunza kitu, baada ya 900 itapendeza minada ya serikali imeboreshwa. Juzi TRA wametangaza mnada kuna maboresho kibao ikiwemo kulipa 25% baada ya nyundo ya dalali kutua chini na kumalizia salio ndani ya masaa 48. Na hili la Joints lazima litaleta maboresho chanya katika sekta ya uhandisi ndio tupo kujifunza sasa sijui wewe mizaha unaitoa wapi?Expansion joint sio swala la kufanyia mzaha.
Tuna watanzania wapumbavu sana suala LA nyufa wao wanalifanyia mzaha wakati MTU kaamua kuonyesha mapinduzi ya kumfunga paka kengereExpansion joint sio swala la kufanyia mzaha.