Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Utajiri wakwanza wa Muafrica ni kua na ardhi....asilimia ngapi ya Kenya wanamiliki ardhi yao wenyewe???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chunga, huyo jamaa ni conman anajifanya mnigeria, 'prince' eti, na dhahabu zake zimekwama pale Arusha kwasababu ya barabara mbovu. Eti utingo wa trela yake analeta mali na pikipiki, sports bike ambayo alimuazima yeye. 😀😀😀 Alafu eti utume zile hela chap chap yupo kwenye stendi anangoja chopa yake! 😀😀😀
usilo lijua nisawa na usiku wa gizaChunga, huyo jamaa ni conman anajifanya mnigeria, 'prince' eti, na dhahabu zake zimekwama pale Arusha kwasababu ya barabara mbovu. Eti utingo wa trela yake analeta mali na pikipiki, sports bike ambayo alimuazima yeye. 😀😀😀 Alafu eti utume zile hela chap chap yupo kwenye stendi anangoja chopa yake! 😀😀😀
Mkuu ukifika huko wanapo ita ushago utacheka sana. Unakuta kwenye ardhi ya babu yao ndugu wote wanaishi hapo. Hakuna mwenye ardhi mpyaUtajiri wakwanza wa Muafrica ni kua na ardhi....asilimia ngapi ya Kenya wanamiliki ardhi yao wenyewe???
Only 3% of Kenyans control the economy the rest are poor.
Wanaishi kwa kubatisha. Muda wowote wanakata roho
Check out @kenyanwalstreet’s Tweet:
Kweli Tanzania hakuna masomo, ni porojo tupu! Ina maana asilimia 99 (99%) ya Americans are poor?., because the US economy is ran by 1% wealthy?.,
Ukiwa na maana kenya ni tajir kuliko US sbb wao ni 3% na US 1% wealth, ww tafuna miraa AKILI izindukeKweli Tanzania hakuna masomo, ni porojo tupu! Ina maana asilimia 99 (99%) ya Americans are poor?., because the US economy is ran by 1% wealthy?.,
Ukiwa na maana kenya ni tajir kuliko US sbb wao ni 3% na US 1% wealth, ww tafuna miraa AKILI izinduke
Teh teh teh tihiii
you are not the US. coz most of your high net wealth families are corrupt, not paying taxes, not giving back to the society. so broda stop comparing yourself with US.
Ahaaa haaa haaa
people will laugh at you.
Sasa wewe na akili mingi, saidia nchi yako; extreme poverty ni 33%. as at November 2018, na wale masikini kama wewe hamujawekwa kwenye hesabu., kulikoni kaka?., mwana CCM., wapumbavu wa kupumbazwa na kujifajiri na propaganda eti Kenya is 97% poor., just because somebody opined of 3% running Kenya's economy., nyambaf!
Teh teh teh tihiii
acha saa hizi tufunge mwaka na tutafakari tumefikia wapi kutekeleza mipango.
wish u a prosperous 2019., natumai lijitu Tanzania titaamka na kukimbia.,
Ahaaa haaa haaa
wishing you also a successful year 2019.
tupambane ili waChina wasichukue urithi wetu, bandari yetu, Mombasa yetu.
Halitatokea in this Africa, ya mababu zetu mabeberu walifaulu kutokana na ignorance, leo hii hawatoboi, we can sabotage everything they do., the only colonization that has succeeded to date ni ya akili., mzungu alienda zake lakini akashika waafrika akili, by imparting his ideology through educational system and religious beliefs(his opinion about God) hili limefanya Africa imekua masikini miaka zote tangu mabeberu kuondoka. Mchina alisusia ideology ya mzungu, kisha akafaulu kivyake, naamini pia mwafrika amebarikiwa na Mungu kivyake kufaulu kwa vyovyote vile, hatuhitaji mzungu ama mchina, tuko na uwezo.