aliekwambia wazanzibari hawafahamu historia yao ni nani? jifunze kutofautisha wazanzibari na Serikali ya CCM,.
Serikali ya CCM ndio inayolazimisha kukaririsha kuwa Karume ndio aliongoza mapinduzi, wakati kila mtu anafahamu kama Nyerere ndie alikuwa HEAD.
NA Okello alikuwa ni kama kibuwa tu kwenye bahari.