MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Nashangazwa na Wazanzibar kushindwa kuifahamu historia ya juzijuzi tu hapa ,yaani miaka 61 iliyopita.
Hawa watu wataweza kweli kuwa na historia miaka 100 ijayo.
Siku ya mapinduzi bwana Karume alikuwa upande wa bara hasahasa mitaa ya Magomeni.
Huku katika kipindi hiki cha sherehe za mapinduzi hamna hata mmoja ambaye anamtaja gwiji Okello na Nyerere katika siku hii muhimu.