Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
Mara nyingi unakuata wanahabari kutoka EA hua kazi yao ni kuripoti chenye serekali imesema, baada ya hapo wanaketi nyuma ya computer na kutunga habari (keybord journerlists)
Kuna watu wengi sana wanapinga project ya $1.2B , 980MW Lamu Coal plant , sababu msingi ni kwamba itaharibu mazingira..... Hata baada ya kuambiwa mtambo huo utatumia super ultra critical clean coal technology ambayo inafanya coal iwe alsmost clean energy, bado hawaamini kwamba inawezekana,
Huyu mwanadada amefanya responsible jounerlism kwa kuenda nchi ambayo imetumia technology hio na kupata ripoti from the horses mouth.
Hizi video mbili ziko na informatio ya kutosha kuhusu hio technolojia ambayo itatumika kujenga Lamu coal plant..... Wakenya wenzangu muangalia mkue informed people, sio kufwata upepo na kupinga projects bila sababu za ukweli..... I think this technology caters for 80% of all the environmental concerns. And lamu can continue to be a World heritage site even with a coal power plant. Tena isitoshe, the ash produced from the plant can be supplied to local cement plants...