99% ya Wazanzibar ni washika dini, kila mtaa kuna nyumba ya ibada, utiriri wa walevi, mateja, malaya na mashoga!

99% ya Wazanzibar ni washika dini, kila mtaa kuna nyumba ya ibada, utiriri wa walevi, mateja, malaya na mashoga!

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
11,550
Reaction score
40,697
Ukifika Zanzibar na kujitambulisha wewe ni mhubiri au muumini thabiti wa dini fulani (tofauti na dini inayotawala zaidi pale Zanzibar) umekuja kwa shughuli ya kueneza habari njema kwa watu wote, unaweza usipewe hata nyumba ya kulala wageni haijarishi una pesa kiasi gani mfukoni. Lakini ukisema wewe ni mgeni/mtalii umekuja kuponda raha zote safi na chafu basi kwa haraka sana utauziwa kila kitu unachokitaka kuanzia pombe, ngono mpaka madawa ya kulevya. Cha kushangaza sana waratibu wa hayo yote ni washika dini wazuri.

Hutasikia danguro likichomwa moto wala klabu ya pombe ikivunjwa Zanzibar. Mpaka sasa hakuna kumbukumbu zozote za wazi zinazoonyesha teja, mlevi, malaya au shoga kupigwa, kuteswa au kuuawa Zanzibar, lakini kuna kumbukumbu za wazi za viongozi au waumini wa dini fulani kuuawa, kupigwa, kunyanyaswa na kuteswa huku mali zao zikiharibiwa.

Kuna kitu bado sijakielewa vizuri Zanzibar. Nadhani pia Zanzibar inapaswa ibadilishe mitazamo yake.
 
Angalia akili zako za kitoto ,wakianza kuwapiga walevi utasema tena ,🤣🤣yaani useme kila anayefanya kosa wampige mpaka wamuue ...Mtakujw tena kusema waislamu ni makatili wana hukumu watu.

Zanzibar hawawezi kukubali kujengwa makanisa ya kitapeli kama hawa manabii huleta ujinga kwa watu.🤣🤣

Zanzibar kuna makanisa na wakristo acha uongo wako juzi kati tu hapa walikuwa na mgogoro juu ya viongozi wao, yaani wakristo wanagombana wenyewe.

Hakuna mtu kauliwa kisa dini yake hii ni hostility tension baina ya bara na zenji , wale wanashangaa wakiitwa wao ni mashoga na wale wanajua wabara sisi ndio tunaharibu mji wao.

Angalia unachoandika leo hata mikoani hapa Tanzania watu wanasemana kutokana na ukanda na mikoa ,jambo la kawaida .
 
Dini ile inalindwa kwa hofu. Waumini wengi hawajui wanachokifuata hivyo akija mtu wa kuwafungua anaweza kubadili upepo ndio maana wanapingwa.

Nakumbuka niliwahi kumpelekea injili mmoja akajifanya hajui kusoma na hasikii vizuri. Lengo ni asisikilize maana hajui kitu na amepigwa biti asisikilize vitu vipya asijekugeuzwa.
 
Back
Top Bottom