99% ya Wazanzibar ni washika dini, kila mtaa kuna nyumba ya ibada, utiriri wa walevi, mateja, malaya na mashoga!

Ukifika Zanzibar na kujitambulisha wewe ni mhubiri au muumini thabiti wa dini fulani (tofauti na dini inayotawala zaidi pale Zanzibar) umekuja kwa shughuli ya kueneza habari njema kwa watu wote, unaweza usipewe hata nyumba ya kulala wageni haijarishi una pesa kiasi gani mfukoni. Lakini ukisema wewe ni mgeni/mtalii umekuja kuponda raha zote safi na chafu basi kwa haraka sana utauziwa kila kitu unachokitaka kuanzia pombe, ngono mpaka madawa ya kulevya. Cha kushangaza sana waratibu wa hayo yote ni washika dini wazuri.

Hutasikia danguro likichomwa moto wala klabu ya pombe ikivunjwa Zanzibar. Mpaka sasa hakuna kumbukumbu zozote za wazi zinazoonyesha teja, mlevi, malaya au shoga kupigwa, kuteswa au kuuawa Zanzibar, lakini kuna kumbukumbu za wazi za viongozi au waumini wa dini fulani kuuawa, kupigwa, kunyanyaswa na kuteswa huku mali zao zikiharibiwa.

Kuna kitu bado sijakielewa vizuri Zanzibar. Nadhani pia Zanzibar inapaswa ibadilishe mitazamo yake.
Watu wengi wazanzibari na wageni hawaielewi zanzibar. Zanzibar uislaam ni utamaduni tu sio kwanba ni wacha mungu. Yaani utamaduni wao ni pamoja na kushika mtindo wa maisha ya kiislaam. Utaona misikiti kila mtaa na watu wanasali ila sio waongofu wanafanya maovu ya kila aina.
 
Dini ile inalindwa kwa hofu. Waumini wengi hawajui wanachokifuata hivyo akija mtu wa kuwafungua anaweza kubadili upepo ndio maana wanapingwa.

Nakumbuka niliwahi kumpelekea injili mmoja akajifanya hajui kusoma na hasikii vizuri. Lengo ni asisikilize maana hajui kitu na amepigwa biti asisikilize vitu vipya asijekugeuzwa.
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 mkuu umewahi pitia rekodi ni nani wanaongoza kwa kuhamia dini nyingine kati ya dini hizo....hapo ndo ulete nani wana hofu
 
Ukifika Zanzibar na kujitambulisha wewe ni mhubiri au muumini thabiti wa dini fulani (tofauti na dini inayotawala zaidi pale Zanzibar) umekuja kwa shughuli ya kueneza habari njema kwa watu wote, unaweza usipewe hata nyumba ya kulala wageni haijarishi una pesa kiasi gani mfukoni. Lakini ukisema wewe ni mgeni/mtalii umekuja kuponda raha zote safi na chafu basi kwa haraka sana utauziwa kila kitu unachokitaka kuanzia pombe, ngono mpaka madawa ya kulevya. Cha kushangaza sana waratibu wa hayo yote ni washika dini wazuri.

Hutasikia danguro likichomwa moto wala klabu ya pombe ikivunjwa Zanzibar. Mpaka sasa hakuna kumbukumbu zozote za wazi zinazoonyesha teja, mlevi, malaya au shoga kupigwa, kuteswa au kuuawa Zanzibar, lakini kuna kumbukumbu za wazi za viongozi au waumini wa dini fulani kuuawa, kupigwa, kunyanyaswa na kuteswa huku mali zao zikiharibiwa.

Kuna kitu bado sijakielewa vizuri Zanzibar. Nadhani pia Zanzibar inapaswa ibadilishe mitazamo yake.
ZNZ kuna mpaka Rais Mstaafu ambaye ni shoga, alikuwa anapumuliwa na waziri mmoja wa Serikali ya Muungano kutoka huko huko ZNZ. Aliposstaafu na mke akamkimbia. Ushoga Zanzibar siyo issue kabisa na ndiyo maana yule Polisi ambaye kulikuwa na ushahidi wa video ya namna anavyoingiliwa huku amevaa shanga aliachiwa na kazi anaendelea kuchapa kikosini. Kwenye wanaume 5 ZNZ watatu tu ndiyo wako rijali
 
Ukifika Zanzibar na kujitambulisha wewe ni mhubiri au muumini thabiti wa dini fulani (tofauti na dini inayotawala zaidi pale Zanzibar) umekuja kwa shughuli ya kueneza habari njema kwa watu wote, unaweza usipewe hata nyumba ya kulala wageni haijarishi una pesa kiasi gani mfukoni. Lakini ukisema wewe ni mgeni/mtalii umekuja kuponda raha zote safi na chafu basi kwa haraka sana utauziwa kila kitu unachokitaka kuanzia pombe, ngono mpaka madawa ya kulevya. Cha kushangaza sana waratibu wa hayo yote ni washika dini wazuri.

Hutasikia danguro likichomwa moto wala klabu ya pombe ikivunjwa Zanzibar. Mpaka sasa hakuna kumbukumbu zozote za wazi zinazoonyesha teja, mlevi, malaya au shoga kupigwa, kuteswa au kuuawa Zanzibar, lakini kuna kumbukumbu za wazi za viongozi au waumini wa dini fulani kuuawa, kupigwa, kunyanyaswa na kuteswa huku mali zao zikiharibiwa.

Kuna kitu bado sijakielewa vizuri Zanzibar. Nadhani pia Zanzibar inapaswa ibadilishe mitazamo yake.
Sasa shetani unataka kwenda jutawala mashetani wenzako?
 
Mkuu upatapo nafasi Funga na Kuomba kwa ajili ya Zanzibar! Siyo kuwalaumu, wamefungwa na Shetani kuliko unavyofikiri.
Na kwenye Dini yao ndiko alikowakamatia akili.

Hali ni mbaya huko! Siyo muda mrefu wataanza kufanya hayo hadharani.
Afadhari Watu wazima ndiyo wangekuwa wanafanyiana hayo, lakini inasemekana Watoto, Vijana wadogo, Vijana ni Wahanga wa kufanyiwa uchafu huo.

Mungu ikumbuke Zanzibar!🙏🙏
 
Angalia akili zako za kitoto ,wakianza kuwapiga walevi utasema tena ,🤣🤣yaani useme kila anayefanya kosa wampige mpaka wamuue ...Mtakujw tena kusema waislamu ni makatili wana hukumu watu.

Zanzibar hawawezi kukubali kujengwa makanisa ya kitapeli kama hawa manabii huleta ujinga kwa watu.🤣🤣

Zanzibar kuna makanisa na wakristo acha uongo wako juzi kati tu hapa walikuwa na mgogoro juu ya viongozi wao, yaani wakristo wanagombana wenyewe.

Hakuna mtu kauliwa kisa dini yake hii ni hostility tension baina ya bara na zenji , wale wanashangaa wakiitwa wao ni mashoga na wale wanajua wabara sisi ndio tunaharibu mji wao.

Angalia unachoandika leo hata mikoani hapa Tanzania watu wanasemana kutokana na ukanda na mikoa ,jambo la kawaida .
Lakini wanakubali kulea na kuridhia ushoga na mashoga ilimradi uwe maislam

Pathetic
 
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 mkuu umewahi pitia rekodi ni nani wanaongoza kwa kuhamia dini nyingine kati ya dini hizo....hapo ndo ulete nani wana hofu
20231215_105519.jpg

ENDELEENI kuuomboleza huku mmebana marinda. Mnavalisha midoli sanda na kuipaka tomatosos nakubaki kulialia mbele ya camera huku mmebanamikundu.

Kufeni zenu kwa halaiki.

Nyau nyie.

God bless and PROTECT Israel

Israel FOREVER

Israel the LAND JEWS the people.

ITR adriz incharge Malaria 2 kahtaan
 
Back
Top Bottom