99% ya wenye tatizo la ATHMA wamepona.

99% ya wenye tatizo la ATHMA wamepona.

Keneth12

Senior Member
Joined
Oct 12, 2015
Posts
114
Reaction score
162
Kutibu Athma lazima uache kula nyama nyekundu, uache kula sukari na kunywa maziwa kwa kipindi chote utakapokuwa unatibiwa.

Dozi ni ya watu wazima sio watoto.

Dozi ya kwanza
Tutakupa vidonge vya kutumia kwa wiki 9, kila juma mosi utakuwa unatumia vidonge vya 250mg X2 maana yake asubuhi 2 na jioni 2 jumla siku hiyo ni 1000mg kwa wiki hiyo moja.

Baada ya wiki 9 ambayo ni ya dozi ya kwanza bado utajisikia kuwa unayo athma haijapona bado.

Dozi ya pili
Dozi ya pili itakuwa ya wiki 5 tu
Kila jumamosi vidonge 2 x 250mg. Asubuhi vidonge 2 na jioni vidonge 2 kumbuka kila kidonge kina 250mg.

Baada ya dozi 2 athma bado utaisikia ipo kwa siku zingine chache.

Mfumo wa immune utakuwa umemaliza kazi ambayo dawa hizo zitakuwa zimemaliza kazi yake na baada ya mwezi au miezi miwili au mmoja itakuwa tayari umepona kabisa na unakuwa huna athma kabisa.

Dawa hizi unazitumia kwa wiki 14 na unameza kila juma mosi tu kwa dozi ya asubuhi na jioni ambayo itakuwa vidonge vyenye 1000mg kwa ujumla kwa siku hiyo maana asubuhi 500mg na jioni 500mg.

Utakapokuwa unatumia dozi utahitaji kutumia na vitamin E, C na D3 kama utazipata kwenye vyakula au vinywaji itakuwa vizuri sana.
 
Mambo ya matibabu kama haya yaweke waz na gharama zake kwan sio siri na wateja wako wanaongeza uaminifu harafu ndo unaweka na mawasiliano yako.Sasa ukiacha vingne bila kuvike waz na watu wanajua haiwwz kuwa bure na ni mambo ya kiafya kama hayo!!
 
Mkuu kwa vyovyote vile matbabu ghalama lazma ztumike, ila unge elezea zaidi kwa mfano watu wako sehem mbalimbali, na wewe unapatkana wapi na je wengne wanapataje usaidizi.
 
mkuu ulidhamiria kutuambia ATHMA inatibika. Sas maelezo mengine yangekuwa mazuri kama ungesema ni dawa gani? Inapatikana wapi? Kwa gharama gani? Sasa hapa umekuja na blaablaa kibao. Njoo edit tangazo lako useme unapatikana wapi na gharama za matibabu kwa ujumla. Hayo mengine tutayajua kwenye kupeana dawa.
 
mkuu ulidhamiria kutuambia ATHMA inatibika. Sas maelezo mengine yangekuwa mazuri kama ungesema ni dawa gani? Inapatikana wapi? Kwa gharama gani? Sasa hapa umekuja na blaablaa kibao. Njoo edit tangazo lako useme unapatikana wapi na gharama za matibabu kwa ujumla. Hayo mengine tutayajua kwenye kupeana dawa.
Text kwenye namba iliyopo kwa maelezo zaidi
 
Back
Top Bottom