Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Du! huo ulevi ni too much. Kwanza hao walevi washindi wote wamejikunja kunja sijui wanapataje usingizi au wameishiwa fahamu!
Kunywa ni starehe ikipitiliza ni karaha, huyo mshindi naona anaongezea kinywaji hapo!..
Karibu huko ... 😀Huo ukumbi ni hapa hapa ndani ya JF au...!? Nilikuwa sijui kuwa kuna kumbi za siri humu JF... lol!