A 380 at Julius Nyerere International Airport

A 380 at Julius Nyerere International Airport

A380 can land,taxi and park in any airfield with appropriate length and size of runway,taxiway and apron of which many international airports are able to handle.
What becomes a challenge is the handling and servicing facilities at terminal gates. So an EK
A380 landing,taxiing and parking at a remote apron at JNIA and eventually taking off is no big deal!
Leo imekuwa no big deal? Haya tusubiri tukio lingine.
 
danganyika's, you have less than 2 weeks to blog this kind of nonsense. kama hauna $920 nakwambia utalamba lolo!

tanzania=north Korea
magufuli=Kim Jung un
 
Kuna mkenya alibisha kuwa haiwezi kutua😀😀 Engineer fake upo ?? Haibu kwenu wakenya.Check out @WizaraUUM’s Tweet:

[HASHTAG]#JNIA[/HASHTAG],Airbus A380 ya kampuni ya Emirates yatua kwa dharura JNIA baada ya kushindwa kutua Mauritius kutokana na hali mbaya ya hewa.

Kukamilika kwa TB III jengo hilo linauwezo wa kuhudumia ndege kama hii ambayo inabeba takribani abiria 500 pamoja na wahudumu wa ndege.

Mwishoni mwa mwaka huu ndio linatakiwa kukamilika na kuanza kutumika ambapo mipango baada ya kukamilika ni kufanya ukarabati tb II ili litakapokamilika tb II itumike kwa abiria wa nchini na tb III iwe kwa ajili ya wasafiri wanokwenda nje ya nchi @TanzaniaAirport

Check out @WizaraUUM’s Tweet:

It landed because of an emergency na mnasherekea....it was not destined for JNIA ....mnapenda kusherekea ufala
 
It landed because of an emergency na mnasherekea....it was not destined for JNIA ....mnapenda kusherekea ufala
a1eM4R8_700b.jpg
 
A380 can land,taxi and park in any airfield with appropriate length and size of runway,taxiway and apron of which many international airports are able to handle.
What becomes a challenge is the handling and servicing facilities at terminal gates. So an EK
A380 landing,taxiing and parking at a remote apron at JNIA and eventually taking off is no big deal!
We shika adabu yako. Nani kakwambia JNIA is a remote apron. Umelewa githeri nini wewe, ebo
 
danganyika's, you have less than 2 weeks to blog this kind of nonsense. kama hauna $920 nakwambia utalamba lolo!

tanzania=north Korea
magufuli=Kim Jung un
Maumivu hayo
Pole hatuna jinsi
Tunaomba mtupatie travelator
 
Oooh karibu sana. Ulisema siku A380 ikitua JKIA tufanye nini ?? 😀😀 Tunaomba Travelator na A380 hapo JKIA😀😀
Ukinionyesha kwenye nilisema nahama jamii forums😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom