A 380 at Julius Nyerere International Airport

Na mbona isi-land JKIA? U couldn't handle that big bird. U r way poor equipped!

Na kwanini waka-land JKIA wakati Gok iko busy kuwayima Emirates landing rights ndio kulinda KQ? Emirate walisha watowa kwenye "trusted friends list".
 
Gani iko karibu...ukipata jibu ujichekelee...emergency unaland kwa the nearest
178 km ban Moi n JNIA n 123km btn JNIA n JKIA r nothing to that bird ! BTW the plane was on air still n could be far from Port Luis n closer to Mombasa or Nrb Airport.
 
Ingetua Nai Uhuru angekuja kuipokea๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ Nairobi Walker na Bottas wako wapi.? Bottas alisema siku ikitua JNIA ni mtag๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Bado tunaomba Travelator ya JKIA๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Jkia haina travelator umefurahi? Airbus haijawahi land Jkia umefurahi? Haya basi toto nenda kalale usiku imefika
 
Let us deal with real business monkey eater๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Check out @Nkaateโ€™s Tweet:
Huyo ni mjinga hata hajui Rwanda is an $8 billion economy. Halafu Tanzania watatuovertake ile siku Yesu atarudi.
 
Issa Michuzi mwandishi wa habari Tanzania akiwa kwenye kiwanda cha Airbus 380

 
We shika adabu yako. Nani kakwambia JNIA is a remote apron. Umelewa githeri nini wewe, ebo

Remote apron is any aircraft parking bay without auxilliary gate facilities like bridges or gangways hence the use of pax buses or tarmac-wonder to access aircraft.

Bongolalala wewe, every airport has remote aprons infact JNIA has majority of them! Never translate directly from English to Kiswahili again!
 
Lini hii? Au ATCL inataka kuvuta airbus fleet?
Kwa kweli sijui. Unajua mambo mengine yanaenda chini chini baada ya kuona maadui zetu wanatumia mbinu nyingi kuturudisha nyuma. Ila ame post siyo muda mrefu. Unajua taarifa zingine ni encoded wachache tu wanaweza kujua.
 
the thing is unscheduled aircraft landing on emergency, how do u expect gate facilities to be available?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ