A 380 at Julius Nyerere International Airport

Unamringishia kwa kutua(tena kwa dharura)! je tukiinunua? Wabongo bhana kama baba yao!

By the way, kuna dege kubwa liliwahi kutua kwa dharura kwenye uwanja wa Arusha (ambao ni mdogo) mwaka 2013, nafikiri dharura haina mbwembwe, hivyo usijitape sana

Ilikuwa ni Ethiopian Airways. Lkn haikuwa kubwa KAMA hii. Hii ni tishio. Double deck brother. Full Wi-Fi, usb pot, spacious leg room, etc
 
Ilikuwa ni Ethiopian Airways. Lkn haikuwa kubwa KAMA hii. Hii ni tishio. Double deck brother. Full Wi-Fi, usb pot, spacious leg room, etc
Ok, nimetolea tu mfano ndugu, asante kwa kumbukumbu
 
178 km ban Moi n JNIA n 123km btn JNIA n JKIA r nothing to that bird ! BTW the plane was on air still n could be far from Port Luis n closer to Mombasa or Nrb Airport.

Na after all it's was not yet reached the destination. Pengine ilikuwa maeneo ya Somalia ilipoambiwa the weather is not good.
 

Bravooo
 
Ukweli wenye ndio huu hapa, dharula sio dharula, uwezo wa kupokea ndege hii upo na mumeona hakuna aliye panic kila kitu kiko sawa.

 
emergency landing due to bad weather porojo zingine joo
The true fact is, our facility is international recognised that it can handle such massive aircraft. When Obama was touring Kenya, half of is fleet landed in JNIA.
 
The true fact is, our facility is er international recognised that it can handle such massive aircraft. When Obama was touring Kenya, half of is fleet landed in JNIA.

Another ignorant bleat! With Obama,whatever you might have seen at JNIA were recoinnaissance fleet out to cover and secure POTUS flight path and airspace around Airforce One!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…