eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Unamringishia kwa kutua(tena kwa dharura)! je tukiinunua? Wabongo bhana kama baba yao!
By the way, kuna dege kubwa liliwahi kutua kwa dharura kwenye uwanja wa Arusha (ambao ni mdogo) mwaka 2013, nafikiri dharura haina mbwembwe, hivyo usijitape sana
Ilikuwa ni Ethiopian Airways. Lkn haikuwa kubwa KAMA hii. Hii ni tishio. Double deck brother. Full Wi-Fi, usb pot, spacious leg room, etc