Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Nope.. lugha ya kichaga ina basics. Kama ilivyo kiswahili. Hii basics zinaeleweka na wachaga wote.. si marangu.. si mrombo si mmachme au kibosho.
Wanasikiliza na kuelewa.. then there ndio inagawanyik tu ....
Ni sawa sawa na kiswahili.. kuna wanachongwa congo.. wanachoongea kenya.. wanchoongea wenzetu waganda.
Bado ni kiswahi.. basic ni zile zile tofauti ni eneo. Kila eneo lime adopt style au tamadun yake ya kuongea lugha hiyo.
Siyo kweli, unajua maana ya Lugha? Kama mimi na wewe tunaongea lkn hatuwezi kuelewana ina maana tunaongea lugha 2 tofauti.
Kwa mfano Mbowe akiongea Kimachame tupu na Mtei akaongea Kimarangu tupu hawawezi kuelewana, mimi nikienda Kenya au Kongo kama wanaongea Kiswahili na mimi naongea Kiswahili tutawasiliana, kama tukishindwa kuwasiliana kwa kutokuelewana ina maana tunaongea lugha 2 tofauti na siyo Kiswahili, hiyo ndiyo maana ya Lugha.
Hizo basics unazoziongelea wewe ni Kibantu ambazo Lugha zote za kibantu zinashare, na ndo maana zikaitwa Kibantu.