A beautiful mind longing for a gentleman



Siyo kweli, unajua maana ya Lugha? Kama mimi na wewe tunaongea lkn hatuwezi kuelewana ina maana tunaongea lugha 2 tofauti.

Kwa mfano Mbowe akiongea Kimachame tupu na Mtei akaongea Kimarangu tupu hawawezi kuelewana, mimi nikienda Kenya au Kongo kama wanaongea Kiswahili na mimi naongea Kiswahili tutawasiliana, kama tukishindwa kuwasiliana kwa kutokuelewana ina maana tunaongea lugha 2 tofauti na siyo Kiswahili, hiyo ndiyo maana ya Lugha.

Hizo basics unazoziongelea wewe ni Kibantu ambazo Lugha zote za kibantu zinashare, na ndo maana zikaitwa Kibantu.
 
The sunset.
 
lace up your shoes and meet someone in real world, dont hide beyond your keboard
And they apparently use to confront men at street saying that they're not of their type,
While not knowing that it is those very same men who read their threads here.
 
Tatizo hilo !!!

Kuna tatizo mtu akitaja kabila lake ujue exactly anapotoka?

Hii phobia mnapata wapi?

Mpo scared too much hadi vitu vya kawaida vya utambulisho!

Mwaka 1800 kulikua hakuna kitu kinaitwa Mtanzani,mwaka 1961 kuna Mtanzania,mwaka 3090 kutakua hakuna Mtanzania labda jina jingine!

Wanasiasa wanakuamulia wewe ni nani na sio utashi wa akili yako mwenyewe!
 
Hivi so mkaanzishe Uzi wenu. Dada Yuki serious hapa anahitaji mme ninyi mnaleta mambo mengine.
 
There is no such a thing as a chaga tribe, chaga is not a tribe, so everything is fake!
tusimharibie mtu uzi wake kwa kuanza kubishana kuhusu kichanga ni lugha au sio lugha,dada yetu anataka mwenza,hatafuti tafsiri ya lugha
 
tusimharibie mtu uzi wake kwa kuanza kubishana kuhusu kichanga ni lugha au sio lugha,dada yetu anataka mwenza,hatafuti tafsiri ya lugha

Atakuwa ameisha please Uzi wa zamaniiiii.. hata ID yake haipo hewani tangu 2021
 
Hivi ulipataga πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…