A Boiling Conflict Between Rwanda, Uganda, and Burundi.

That's for sure mkuu.

Though kuna kitu hua sielewi kwa uchumi mdogo wa Rwanda sijui kwanini PK anapendaga habari za vita vita badala angeboresha nchi yake kiuchumi.
Nchi imeishiwa rasilimali za kukuzia uchumi, wananchi nao ni mbumbumbu. Njia pekee iliyobaki kwa Kagame kukuza uchumi wake ni kuvamia na kupora, hana njia mbadala
 
Nchi imeishiwa rasilimali za kukuzia uchumi, wananchi nao ni mbumbumbu. Njia pekee iliyobaki kwa Kagame kukuza uchumi wake ni kuvamia na kupora, hana njia mbadala
Hahahaha wewe Mnyakyusa bwana.
Ila hivi kwanini mataifa ya BRICS yalimualika Rais Kagame kwenye kikao juzi nchini Afrika Kusini ilhali yakijua kabisa Rwanda hana rasilimali ambazo mataifa hayo yanaweza kuzichimba ??? Au upande wa pili ni kwanini mataifa makubwa ya Magharibi yanaipenda sana Rwanda wakati haina rasilimali zozote zile wanazoweza kuzichimba ???

Eti wakuu Nalendwa , Kichuguu , mng'ato , Wick , Prof mnaweza kutusaidia hili jawabu
 
I second you....
 
Hahahaha wewe Mnyakyusa bwana.
Ila hivi kwanini mataifa ya BRICS yalimualika Rais Kagame kwenye kikao juzi nchini Afrika Kusini ilhali yakijua kabisa Rwanda hana rasilimali ambazo mataifa hayo yanaweza kuzichimba ???
🙂🙂🙂
hilo ni swali fikirishi, so jamaa ni gateway ya Congo na utajiri wake?!!.
Umetoa mwanga mzuri humu. ishu ya great lakes ni kubwa kuliko JPM, PK, M7 et al. Na imeanza mbali. Hadi MOSSAD na Beijing!!?. Ndiyo maana Congo wars(great wars of Africa) zilikuwa na players wengi vile!!. Hawa CIA ndiyo walio mkill hadi Lumumba. Walimualika Marekani wakampetipeti na kumtafutia malaya wa kizungu lakini jamaa alikuwa haelewi somo.
 

Lumumba alikosea kabisa baada ya kuita wasovieti waje, yaani aligusa panapouma. Maana walikuja wanajeshi kama 100 hivi na hii ina maanisha kwamba utajiri wa Congo ungekuwa mikononi mwa wajamaa basi ingekuwa mbaya sana kimkakati kwa mataifa ya Magharibi. Maana ndani ya miaka kama 4 hivi idadi ingefika hadi wanajeshi 500 hadi 700 hivi kutoka Urusi, ambapo kwa namna moja au nyingine kwa tabia ya Lumumba ilivyokuwa asingeishia kwake tu, nchi kama Angola, Namibia, Msumbiji vingekuwa ni vichaka vya wakomunisti. Tanzania tu ambayo haikuwa na vikosi vya Warusi na Wachina ilisumbua sembuse Congo yenye vikosi kutoka Urusi ?

Balozi wa Marekani George W Ball alisema haya mwaka 1960:
"What happens to this land and its people will obviously play a decisive role in what happens to the areas around it. Should the Congo crumble into chaos and become a successful object of Communist penetration, the Soviet bloc will have acquired an asset without price…The avoidance of this very real danger is the immediate objective of our policy in the Congo"…George W. Ball

NB: Wazungu waliona mbali sana, maana wale Warusi wangewasumbua, wakaamua kumuua bwana Lumumba (R.I.P)
(Wakuu Nalendwa na Red Giant mnaweza kuongezea hapa)
 
The problem of insecurity and military insurgencies that faces the great Lakes region is profoundly originated by these 2 blood thirsty and nefarious tyrants Paul Kagame and his Brother Yoweri Museveni , putting into perspective of so many sabotage operations and rebellion factions funding in the neighbouring country of Congo , I wouldn't be suprised of their direct involvement in Burundi's conflict ,

Sometimes I believe Congo would have been far more better off if there weren't these 2 ghosts beside it , the massacres and much more barbaric atrocities that have been committed by these 2 demons are undescribable , it is horrific and you will never here these on the mainstream media

We have a serious problem and if we don't act now , the imminent future will be worst and at that time we shall be dealing with savages renegades within our borders and it will be a nightmare especially to most of us Tanzanians who we have never heard of the gun shot since when we were born ..............
 


...wow!, that's an Interesting read too.
Will be appriciated hata Uki share ile ulisema kule mwanzo kuhusu Mashirika makubwa and Countries, ambazo you think they're crawling into our area for unspecified reasons. Hopefully they're not harmful.
 


Mh!, swali fikirishi haswa. I'm going to try my best. It's getting better and better!
 
Hahahaha, imenibidi nicheke tu, eti nefarious.
Lakini tukirudi kwenye suala la Usalama wa nchi za Maziwa makuu:
-Hivi unadhani chanzo cha vurugu hizi ni Kagame na Musseveni ???
-Unahisi kwamba wakiondoka mambo ndiyo yatatulia kwenye ukanda huu ???
 
JWTZ iende mara ngapi?
Bila JWTZ Nkurunzinza ingekuwa story!

I know...Right!



Hii ndo uzuri wao. Kama hauko kwenye black book yao, you'll be taken a good care of.
 
Hahahaha, imenibidi nicheke tu, eti nefarious.
Lakini tukirudi kwenye suala la Usalama wa nchi za Maziwa makuu:
-Hivi unadhani chanzo cha vurugu hizi ni Kagame na Musseveni ???
-Unahisi kwamba wakiondoka mambo ndiyo yatatulia kwenye ukanda huu ???
Sidhani kama kutakuwa na amani kivile ila mambo waliyoyafanya hawa watu hasa humo Congo yanatisha sana kuna kitabu kimoja nitakitafuta nikiweke humu kinaelezea jinsi walivyowasaidia wanyamulenge (Wafugaji wenye asili ya kitusi ) huko Kivu kuunda vikosi vya waasi na pia kiinfiltrate mamluki wao hasa wa Rwanda kwenye jeshi la Kongo enzi hizo wakimsupport Mzee Kabila na baadaye wakamgeuka na kummaliza ni story ndefu sana , hata huyu mkuu wa majeshi wa Rwanda (James Kabarebe ) aliwahi kuwa mwenye cheo kikubwa tu kwenye jeshi la Kongo enzi za Mzee Kabila.......Kuna kitabu kimeandikwa na jamaa mmoja anaitwa Thomas Turner "The Congo wars and conflicts myths and reality " ) hiki Kiko full , this guy he hadn't spared anyone , ameelezea kwa facts involvement ya hawa warlords wawili na western powers Hasa France
 
Nakuelewa sana Malcom lumumba nafuatilia kwa karibuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…