A Boiling Conflict Between Rwanda, Uganda, and Burundi.

DGSE, FRENCH External Intelligence Agency.
How come wanaonekana kujishughulisha na Internal Affairs za baadhi ya nchi za Great Lakes Region?!, halafu sio kujisghulisha tu, mpaka ku spill the beans, i.e the allegedly assassination plot ya Museveni?
Inawezekana ikawa part of deal la Total. Ufaransa ina kiu sana na Mafuta.

Kwenye Mafuta inafanya chochote.

Fuatilia vita zisizoisha za West Africa, zote Mfaransa ana Mkono wake kisa Mafuta.
 
Inawezekana ikawa part of deal la Total. Ufaransa ina kiu sana na Mafuta.

Kwenye Mafuta inafanya chochote.

Fuatilia vita zisizoisha za West Africa, zote Mfaransa ana Mkono wake kisa Mafuta.
na uranium..angalia pale chad,CAR,MALI(tuareg),congo brazaville..habre alizingua,aka-side na US,aisee france alimshughulikia vizuri,kumbe france walikua na 'traitors' ndani ya jeshi la us lililokua na habre..gaddafi nae alitia pua..france hakuleta mzaha
 
Well said
 
Inawezekana ikawa part of deal la Total. Ufaransa ina kiu sana na Mafuta.
Kwenye Mafuta inafanya chochote.

Fuatilia vita zisizoisha za West Africa, zote Mfaransa ana Mkono wake kisa Mafuta.


I second you mkuu.
 
Jamaa wako vizuri kwenye maslahi yao.

Inawezekana pia watakuwa walimlipa Nkurinziza gharama za kuahirishwa mkutano ili tu Museveni asiende Burundi.
 
Mkuu kichuguu huwezi kubishana na wakenya, wanabisha hata kwenye ukweli huyu mulwanaka anaonekana ni mkenya.
Ni rahisi kwao kuudanganya ulimwengu mt. Kilimanjaro iko kenya na hata daraja la Nyerere liko Nairobi huku wakijua wazi haviko kwao.
Anawezaje kufananisha Nairobi au Kampala kuwa hub ya biashara kwa Afrika mashariki kuliko Dar??!!
Hawa watu wamejawa na wivu wa kijinga sana, Hapo anataka kuudanganya Umma KDF ni bora na imara Kuliko TPDF.
Jeshi litakuwaje bora bila kushinda vita!?!???
Yes TPDF ni bora kuliko KDF kwasababu moja ya msingi, TPDF ilipigana vita na ikashinda, haya nieleze ubora wa KDF?
Wakenya mna matatizo mengi sana kwa wakati huu kuliko hata watz hebu jaribuni kupambana na hali zenu.
Au matatizo yenu pia huyajui nikusaidie kukuambia???
 
Akili kubwa mkuu nimekusoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…