A Boiling Conflict Between Rwanda, Uganda, and Burundi.

DGSE, FRENCH External Intelligence Agency.
How come wanaonekana kujishughulisha na Internal Affairs za baadhi ya nchi za Great Lakes Region?!, halafu sio kujisghulisha tu, mpaka ku spill the beans, i.e the allegedly assassination plot ya Museveni?
CIA, Mossad, MI6 nk works all over the world.

These countries have interests all over the world thats why their intelligence agencies works in almost every country in the world.
 
Yap!, True. Umekumbushia vizuri mkuu.
And then DGSE have some benefits in the area as well.
 
Unless the region get rid off these two homicidal dectetor of PK na YKM this region will never be guaranteed for security.....Kenya is busy building her Economy her sister nations busy in silly military manuevres,While the sleeping giant Tz. as usual busy to meditate the conflicting neighbours when her pple are in biting poverty.

Looks like we're trying to be the Police of E. Africa. Which is not a bad thing.
But at the same time, we need to move our Focus in other key issues that are holding us back, and put blocks on our way towards advancement.

We have the Power, we have the Will, we are the 'GIANT' of E. Africa.
We were supposed to be the 'IT' of E. Africa.

But boy or boy!...who knows what we're missing.
 
kwamba karegeya ana watu wake msituni,na burundi na uganda wako poa..halaf pk alitaka kumdungua mu7..kwa hiyo zile habari za napigano rwanda ni kweli na kuna nguvu za kutosha nyuma ya wale wapiganaji!!.miaka miwili ijayo patakua na kitu tu..ngoja mu7 amalize uchaguzi
 
Varangati la sasa linaendeshwa na Gen
Katumba kwa kushirikiana na Kamanda wa mwituni Kalixte Sankara ambaye ni mjomba wa Diane Rwegara mwanadada mpinzani wa kagame katika kugombea urais. Habari za upande wa pili zinaeleza kuwa Rwanda na Uganda lao ni moja la kumtoa Piere Nkurunziza katika utawala. Kinachoa fanyika mpakabi mwa Uganda na Rwanda ni kuweka vikosi toka Uganda ili kuhakikisha usalama kwa Rwanda ambayo Nguvu yote ya kijeshi inaelekezwa kuvamia Burudani na kumtoa pita. Vikosi vya Uganda mbavyo vipo ili kulinda mpaka wa Rwanda hata hivyo vinaelezwa kuwa havina matarajio ya uvamizi wowote kwani hofu pekee iko kwa Tanzania ambayo inaonekana inaweza kuingilia kati ili kuokoa Burundi toka uvamizi huo ingawa Kwa sasa mlengo wa Tanzania inaonekana kubadilika kwa kujikita sana katika mambo ya mahusiano ya kiuchumi zaidi na hii ni hofu kubwa kwa kuzingatia miradi mikubwa ya miundombinu baina ya Tanzania na Rwanda na Uganda ambao ndio wanapanga kuivamia Burundi.
 
Kagame kiburi kitamponza. Kimenzidi uwezo. Sasa haelewani na Mseveni. Nkurunzinza hawaelewani, Kabila hajasahau m23. Tanzania japo anaelewana na JPM lakini Jeshi na intelligence bado hawajasahau walivyowekwa alert kwaajili yake na jinsi walivyolazimika kupambana na M23. Kagame ni mtu asiyeaminika kabisa, ni kama conman flani hivi. kuna kipindi walikuwa marafiki na Mseveni lakini majeshi yao yalipokutana huko Kisangani yakaanza kuzichapa.
Leo hii hawaelewani na Nyamwasa. Amebaki peke yake.
JPM hamwamini kabisa kagame, tena afadhali ya kikwete. Angalia wakuu wa mikoa mipakani Geita, Kigoma, na baadhi ya wilaya za mipakani, amejaza wajeda tena wenye vyeo vikubwa.

Kagame kama ni kupinduliwa atapinduliwa tokea uganda au Burundi. Mseven anamjua vizuri sana kagame na anajua jinsi ya kumanage. Kuna bwana anaitwa sankara yupo misitu ya burundi an video nyingi sana youtube akitaka kumwondoa kagame, hope kagame atakuja kujificha tz na hapo ndio atajua magu ni Hapa kazi tuu pale atakapo rudishwa kwenye karandinga rwanda.
 
DGSE, FRENCH External Intelligence Agency.
How come wanaonekana kujishughulisha na Internal Affairs za baadhi ya nchi za Great Lakes Region?!, halafu sio kujisghulisha tu, mpaka ku spill the beans, i.e the allegedly assassination plot ya Museveni?
Interest.... Kifo cha M7 kingeleta sintofahamu kubwa hapa great lakes area. Pengine tungeshuhudia vita vya Rwanda vs Burundi vs Uganda and Congo. It's cheaper kutoa tipoff kuliko kisubiri vita
 
JPM hamwamini kabisa kagame, tena afadhali ya kikwete. Angalia wakuu wa mikoa mipakani Geita, Kigoma, na baadhi ya wilaya za mipakani, amejaza wajeda tena wenye vyeo vikubwa.

Kagame kama ni kupinduliwa atapinduliwa tokea uganda au Burundi. Mseven anamjua vizuri sana kagame na anajua jinsi ya kumanage. Kuna bwana anaitwa sankara yupo misitu ya burundi an video nyingi sana youtube akitaka kumwondoa kagame, hope kagame atakuja kujificha tz na hapo ndio atajua magu ni Hapa kazi tuu pale atakapo rudishwa kwenye karandinga rwanda.
Ngumu sana kwa PK kuondolewa...!!!
 
Looks like we're trying to be the Police of E. Africa. Which is not a bad thing.
But at the same time, we need to move our Focus in other key issues that are holding us back, and put blocks on our way towards advancement.

We have the Power, we have the Will, we are the 'GIANT' of E. Africa.
We were supposed to be the 'IT' of E. Africa.

But boy or boy!...who knows what we're missing.
We can't be the policeman of the region when we are having crumbling economy......with such overwhelming unemployment rate....unsure of our military capability.....it's just poor foreign policy of our leaders that fool, the selves to be giants of the region, when we are not.....no giant in the world with weak economy like ours.
 
Interest.... Kifo cha M7 kingeleta sintofahamu kubwa hapa great lakes area. Pengine tungeshuhudia vita vya Rwanda vs Burundi vs Uganda and Congo. It's cheaper kutoa tipoff kuliko kisubiri vita

Yap!, Yap!, Mkuu.

Hii situation yenyewe tu ilivyokaa sasa hivi sio nzuri sana.
Rwanda, Burundi, Uganda, Congo are like a ticking bomb kwa sasa.
Halafu kama haya yakutokea yangetokea kweli, it would've been worse.
 
We can't be the policeman of the region when we are having crumbling economy......with such overwhelming unemployment rate....unsure of our military capability.....it's just poor foreign policy of our leaders that fool, the selves to be giants of the region, when we are not.....no giant in the world with weak economy like ours.

Undeniably!
 
Unless the region get rid off these two homicidal dectetor of PK na YKM this region will never be guaranteed for security.....Kenya is busy building her Economy her sister nations busy in silly military manuevres,While the sleeping giant Tz. as usual busy to meditate the conflicting neighbours when her pple are in biting poverty.
we jamaa una matatizo bila kikwete 2007 mngemaliza manyang'au . xenophobia nyie maana ukabila mmeweka mbele sijui kikuyu, kamba Luo kama mnataka kutambika
 
Interest.... Kifo cha M7 kingeleta sintofahamu kubwa hapa great lakes area. Pengine tungeshuhudia vita vya Rwanda vs Burundi vs Uganda and Congo. It's cheaper kutoa tipoff kuliko kisubiri vita
Ni kweli ila waganda wengekua na endless celebrations kwasababu ile nshi nikama kaimiliki yeye na ndungu zake hamna anae furukuta.....anafanya chochote kwa mda wowote kuanzia chama chake NRM bunge, Mahakama Magereza jeshi benki kuu vyote viko mkononi mwake.....
 
JPM hamwamini kabisa kagame, tena afadhali ya kikwete. Angalia wakuu wa mikoa mipakani Geita, Kigoma, na baadhi ya wilaya za mipakani, amejaza wajeda tena wenye vyeo vikubwa.

Kagame kama ni kupinduliwa atapinduliwa tokea uganda au Burundi. Mseven anamjua vizuri sana kagame na anajua jinsi ya kumanage. Kuna bwana anaitwa sankara yupo misitu ya burundi an video nyingi sana youtube akitaka kumwondoa kagame, hope kagame atakuja kujificha tz na hapo ndio atajua magu ni Hapa kazi tuu pale atakapo rudishwa kwenye karandinga rwanda.
But the fact is PK na M7 are war mongers, in the region some time I become sypthetic with innocent JPM becoming close to blood sunkers of the region, may be bcz is an amanture in the regional politics....it's like 1day old chick passing beside the mouth of awaiting combra.....we should not expect peace and security as long as these "military tranders" are in power
 
Teh!, eti atarudishwa na nini?
Alivyo mbabe, he'd rather do something else, kuliko kuangukia pua au mikononi mwa adui.

mng'ato yuko wapi apite hapa kuona vurugu nyingine hizi za bestie wake. 🙂
 
But the fact is PK na M7 are war mongers, in the region some time I become sypthetic with innocent JPM becoming close to blood sunkers of the region, may be bcz is an amanture in the regional politics....it's like 1day old chick passing beside the mouth of awaiting combra.....we should not expect peace and security as long as these "military tranders" are in power
You're saying that as if all intelligence and military planning and execution are done by JPM alone.. as if all the intelligence and military personnel were employed yesterday..

You are that type full of complaining... JESHI LA WALALAMIKAJI... you can complain from morning to evening.. you won't change a thing..

If you don't like what is happening then go and find another country to move in.. unaruhusiwa kubadili uraia..
 
Back
Top Bottom