mulwanaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 5,262
- 12,855
Kwa vigezo vip? Acha uzalendo bila reasoning let us argue kama wasomi......Jeshi letu ni bora kuliko jeshi la Kenya na jeshi la Congo. That is undisputed truth
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa vigezo vip? Acha uzalendo bila reasoning let us argue kama wasomi......Jeshi letu ni bora kuliko jeshi la Kenya na jeshi la Congo. That is undisputed truth
I know what we are missing. Good leadership or just leadership at that.Looks like we're trying to be the Police of E. Africa. Which is not a bad thing.
But at the same time, we need to move our Focus in other key issues that are holding us back, and put blocks on our way towards advancement.
We have the Power, we have the Will, we are the 'GIANT' of E. Africa.
We were supposed to be the 'IT' of E. Africa.
But boy or boy!...who knows what we're missing.
Marekebisho kidogo kabla ya kujibu hoja zako.Mkuu mwaka 1972 USA ilishindwa vita ya Vietnam 1979 USSR ulishindwa vita ya Afghanistan 1998 USA elishindwa vita ya Somalia......kwa argument yako unataka kuniambia somalia elikua na jeshi bora kuliko USA au Afghanistan ina jeshi bora kuliko Russia.....plz tofoutisha jeshi bora la inshi na kushinda vita......ntarudi tena kukuelewesha zaidi
Wakenya Al Shahab imewatoa makamasi. Congo tulienda sisi kuwafundisha. Tuliposhinda Uganda Moi was aghast thinking Amin will finish us off. Akaanza kuogopa kuwa tungevamia Western Kenya. Undisputed truth.Kwa vigezo vip? Acha uzalendo bila reasoning let us argue kama wasomi......
Sasa wewe kama msomi toa vigezo kuonesha jeshi la Congo ni bora kuliko JwtzKwa vigezo vip? Acha uzalendo bila reasoning let us argue kama wasomi......
1.Khs Kumuua M7 hilo 100% naamini ni uongo kwa sababu naamini uwepo wa M7 ndiyo salama zaidi kwa Rwanda na PK kwa ujumla,ule msemo usemao zimwi likujualo halikuli likakwisha ndiyo style ya urafiki wa Pk na M7.
2.Khs kisasi kwa m7 sio kweli pia kwanza hata hio case ya kugeukana haina ukweli nayo.
Pale mwishoni umeandika kwamba Rwanda watafanya vurugu pale tu maslahi yao yatakapoguswa lkn hapo hapo M23 ilichapwa huko Congo na maslahi ya Rwanda yakawa ndo yameguswa hivyo na hakuna kitu chochote Rwanda ilikifanya au labda pengine maslahi yao pale hayakua makubwa mkuu?
Karibu uzidi kumwaga nondo mkuu maana wengi hapa jf tulikua tunajua baada ya M23 kupigwa basi maslahi ya Rwanda yaliguswa directly.Pale Congo DRC walioruhusu Tanzania waende walikuwa ni Baraza la Ulinzi na Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC) ambapo ndani yake kuna Marekani, Uingereza na Ufaransa. Tanzania waliongoza vikosi lakini walienda kama majeshi ya Umoja wa Mataifa chini ya MUNISCO INTERVENTION BRIGADE. Kazi yao ilikuwa ni kuwapiga M23 na kuhakikisha kwamba hali ya amani inarudi kwenye ule ukanda ambapo walikuwepo waasi na siyo zaidi ya hapo. Hivyo kitaalamu Tanzania ilikuwa ni Troop Contributing Country (TCC) ambapo wanajeshi wake walifuata maagizo ya Umoja wa Mataifa japo waliruhusiwa kupiga waasi.
Kuna mengi sana hapa yamefichika, ngoja nikae vizuri ntakuja kuchangia.....
Na mimi unajiuliza hili swali hata sipati , kwamba niyombare alisimama Kwa ajiri tuu ya kutokubaliana na regime ya Nkurunzinza?Maj Gen Godefroid Niyombare
===
Nani hasa alimtuma kufanya mapinduzi ya kijeshi!?
You are contradicting your self brother .......but thanx for the correction g9te byeeMarekebisho kidogo kabla ya kujibu hoja zako.
Vita ya Vietnam iliisha mwaka 1975 siyo 1972
Afghanistan Urusi ilitoka mwak 1989 na siyo 1989
Vita vya Mogadishu ni vya mwaka 1993.
Kuhusu hoja yako sasa:
Jeshi bora ni lile ambalo linakuwa na wanajeshi walifundishwa vizuri na kuwa vifaa vya kisasa kabisa. Huku wakiwa na Reserve ya kutosha katika ngazi ya kijeshi na kiraia ili kuweza kufanya mambo yawe marahisi wakati wa vita. Lakini bahati mbaya sana jeshi linaweza kuwa ni la kisasa lakini likashindwa kupigana vita na maadui.
Kazi ya jeshi siyo kujisifia tu kwamba lina vifaa bali ni kupigana vita na kulinda mipaka.
Hivyo leo hii tukisema Tanzania ana jeshi lenye nguvu halafu tukapigwa na Al-Shabaab tunaweza kujisifu kwamba tuna jeshi Imara hata kama tuna vifaa vya kisasa kabisa ??? Sasa hapo Ubora wetu utakuwepo wapi ??? Au mwenzangu ubora wa jeshi unapima kwa kuwa na bajeti na vifaa vya kisasa tu ??? Maana wewe umeangalia silaha na vifaa (The Ballistic Side) vipi kuhusu (Mission) ambako kuna vitu vingi zaidi ya silaha na uchumi ???
Mambo ni Moto,na tatizo kubwa ni Mr Slim.
JWTZ iende mara ngapi?.."(Kikwete) clearly stated that such a military move would not be tolerated by Tanzania"...
Mhh!
So, if the attempted coup in Burundi had succeeded, JWTZ would've gone into a second "Kagera War"
DGSE, FRENCH External Intelligence Agency.
How come wanaonekana kujishughulisha na Internal Affairs za baadhi ya nchi za Great Lakes Region?!, halafu sio kujisghulisha tu, mpaka ku spill the beans, i.e the allegedly assassination plot ya Museveni?
Mimi haya mambo siyafahamu lakini ninachoweza kusema ni kwamba kweli maslahi ya Rwanda yaliguswa baada ya kupigwa kwa M23 kwasababu umoja wa mataifa ulisema kwamba kile kikundi kilikuwa kinaongozwa na Rwanda. Japo kukipiga kile kikosi hakukugusa maslahi ya mataifa makubwa yanayonufaika na rasilimali za Congo: Makampuni makubwa kutoka Ulaya na Marekani yanavuna madini Congo bila hata kutumia M23 na yalianza tokea miaka ya 1960's.Karibu uzidi kumwaga nondo mkuu maana wengi hapa jf tulikua tunajua baada ya M23 kupigwa basi maslahi ya Rwanda yaliguswa directly.
By the way M23 nimeona majuzi wamelalamikiwa na Machali yule Muasi wa kule Sudan kwamba Salva kiir anawatumia kwny vita.
Ni kweli kuwa iwapo hao makomandoo wachache waliongia Burundi wakati huo wangeshindwa kuzima mapinduzi hayo kimya kimya, basi JWTZ ingeingia waziwazi kwa namba kubwa. Huyo kiongozi wa mapinduzi hayo Maj Gen Godefroid Niyombare alipata Comission yake ya kijeshi kutoka Monduli na alikuwa na marafiki kadhaa ndani ya JWTZ waliosoma pamoja hapo Monduli. Alitegema kupata support ya Tanzania kutokana na backaground hiyo, na ndiyo maana alianza kutuma taarifa makao makuu ya JWTZ kuhusu mapinduzi hayo. Text ya Kikwete ilikuwa inatokea makao makuu ya JWTZ kufuatia ya taarifa hizo. Baada ya JWTZ kusema halitamsupport, na ikiwezekana litatumia nguvu kuzima mapinduzi hayo akafyata mkia. Kwa hiyo wale makomandoo walipokwenda kutuliza hali jamaa tayari alikuwa hana resistance tena.
Bina unitafsirieeeKuna rafiki yangu alikuwa anaishi karibu na Ubalozi wa USA Dsm, aliwahi kupigiwa simu na walinzi wa ubalozi (akiwa amesafiri nje ya dsm bila kuwaaga maana hakuwa na mazoea nao) kuwa kuna majambazi walitaka kuvamia nyumbani kwake lakini walinzi hao wa US Embassy wamewadhibiti. Huwa wako siriazi na kazi, they spy everywhere all the time for their nation's welfare
Ha haa haaa mwalimu wa English kozi kaniandikia.Bina unitafsirieee
Hey Malcolm, hope U mzima!
On this point, hili nilijiuliza kwenye ile comment yangu ya mwanzo kuhusu DGSE.
Why France?!, I thought they had history. Najua Belgium ndio walikuwa directly involved kwenye Colonialism na Rwanda lakini for some reasons nilidhani France wako somehow indirectly involved. Na jinsi walivyowaanika kuhusu hii Assassinatio plot was Interesting.