A Boiling Conflict Between Rwanda, Uganda, and Burundi.

A Boiling Conflict Between Rwanda, Uganda, and Burundi.

weka hiyo ripoti waisrael walivotupwa ndani ya mto wa mamba..navuta picha walivokula mkong'oto wa kishaolini wakati wanadakwa
Hahahahaha eti kipigo cha kishaolini,
Ngoja niitafute huko nyumbani kama itakuwepo maana ni ya muda mrefu sanaa. Nikiipata tu ntaiweka hapa mkuu.
Lakini nasikia walitwangana sana na bwana Chairman Mao amekomaa tu. Kuna siku nyingine hapa Tanzania kuna wale mainjinia waliouja kujenga reli ya TAZARA wanasema walitembea miezi tisa kwa mguu ili kuangalia njia ambayo reli ingepita. Sasa mwanzoni katika kutafuta msaada wa ujengaji, Marekani alisema angejenga ile reli kwa miaka kama Ishirini huku Uchina kasema atajenga kwa miaka 5 tu buree (Wamarekani wakaghafilika sana)

Sasa wameanza kujenga reli wamarekani wakaenda kuwafanyia vurugu bwana, yule mzee anasema kuna mwenzao moja hivi alitoa kichapo kwa yule Mmarekani. Anasema alirushwa na kubwagwa chini mara moja akawa mpole tu, sasa hizi vurugu ni za Bongo huko Congo lazima kulikuwa hakufai kabisa. Nilivyoiona hii Documentary nilicheka sana sema nikawa sina jinsi ya kuipata tu maana ilionyeshwa kwenye Televisheni ya kichina. Mkuu inamankusweke ukitaka kuwafahamu wachina basi pitia majarida ya Taiwani na Japan utaishia kucheka tu
 
dunia ina mengi sana
 
Nchi imeishiwa rasilimali za kukuzia uchumi, wananchi nao ni mbumbumbu. Njia pekee iliyobaki kwa Kagame kukuza uchumi wake ni kuvamia na kupora, hana njia mbadala
kuvamia na kupora au kutumiwa na mabasha ya ulimwengu!!?
 
Sidhani kama kutakuwa na amani kivile ila mambo waliyoyafanya hawa watu hasa humo Congo yanatisha sana kuna kitabu kimoja nitakitafuta nikiweke humu kinaelezea jinsi walivyowasaidia wanyamulenge (Wafugaji wenye asili ya kitusi ) huko Kivu kuunda vikosi vya waasi na pia kiinfiltrate mamluki wao hasa wa Rwanda kwenye jeshi la Kongo enzi hizo wakimsupport Mzee Kabila na baadaye wakamgeuka na kummaliza ni story ndefu sana , hata huyu mkuu wa majeshi wa Rwanda (James Kabarebe ) aliwahi kuwa mwenye cheo kikubwa tu kwenye jeshi la Kongo enzi za Mzee Kabila.......Kuna kitabu kimeandikwa na jamaa mmoja anaitwa Thomas Turner "The Congo wars and conflicts myths and reality " ) hiki Kiko full , this guy he hadn't spared anyone , ameelezea kwa facts involvement ya hawa warlords wawili na western powers Hasa France
hivi kumwachia huru yule mfungwa sio mpango mpya wa congo kweli!!?
 
Niliwahi kusema huyo Slim anafanya kila namna ili atawale Afrika Mashariki na baadae Afrika!
Sasa kamkalia kooni mchunga ng'ombe wa Geita ila avune Mererani
Unataka kusema haya madai kuwa pk ana vitalu pale A town ni kweli?? Na ana access pass ya kuja A town atakavyo??
 
Kwa vigezo vip? Acha uzalendo bila reasoning let us argue kama wasomi......
Nakubali JWTZ ni bora ukanda was maziwa makuu, ubora was jeshi ni zaidi ya uchumi hatulipimi jeshi kwa kulinganisha uchumi ila kwa kufanikisha mission . uchumi itakuwa changamoto za jeshi bora
 
Huja jibu swali unatumia vingezo gani kusema JWTZ ni bora Africa mashariki na Kati, kigezo cha miaka ya 70 sio kigezo....uwezo wa jeshi lolote unaendana sambamba na uchumi wa hiyo nchi ndomaana unaona Marikani, China Israel uingereza nk wana uongoza kwakua na jeshi bora duniani......sasa Tanzania inayo zidiwa kiuchumi na Kenya karibu mara mbili itakuaje na jeshi bora kuliko Kenya au Congo.....huo ni muujiza gani?
Hapana mzee; uwezo wa kijeshi siyo directly proportional na uchumi, na wala katika maelezo yangu hayo sikutumia kigezo cha mwaka 1970 bali nimekupa mfano wa kuonyesha kuwa wingi wa silaha na ukubwa wa jeshi (manpower) havina uhusiano na uwezo wa kupigana vita. Unaposoma takwimu za wingi wa silaha na manpower zisikudanganye kuwa huo ndio uwezo wa jeshi; hapana. Uwezo wa jeshi umo katika utaalamu wa kupanga na kuendesha mapigano ambao unatokana na training ya makamanda wake. Makamanda wa jeshi la JWTZ wana training kali sana kuliko jeshi lolote ukanda wetu huu. Pitia safu za uongozi kwa maafisa wote kuanzia Brigedia Jenerali na kuendelea ndipo utagundua kuwa training zao siyo mchezo mchezo. Marekani na israel unazosema, zina training kali sana kwa makamanda wao, siyo silaha na uchumi tu kama unavyodhani. Kama unajua mambo ya kijeshi sawasawa, utakubali kuwa ushindi wa israeli dhidi ya majirani zake miaka ile ulitokana na jinsi makamanda wa israeli walivyopanga vita hizo siyo ukubwa wa jeshi wala ukubwa wa uchumi, in fact Israel ilikuwa maskini sana wakati huo wala haikuwa hata na TV yake yenyewe kulinganisha na majirani zake wote.
 
The Great Lake Region Conflict haiwezi kuisha leo wala kesho kwa sababu huku ndo asset ya nchi za Magharibi,ujio wa China katika ukanda huu umeongeza msuguano baina ya hizo block na tunachokiona Congo, Burundi, Rwanda na Burundi ni matokeo ya kile kilichojificha nyuma ya hizi nchi zilizoendelea kuendelea kuimarisha territory zao Africa. Jeuri ya Tanzania kuintervene conflict ya Congo na Burundi licha ya kwamba ni for our own security matter lakini pia ni China kujaribu kuchkua jukumu la ushawishi ktk ukanda huu na kujipatia maslahi yake. Tanzania inapata back up toka China na sasa baada ya uranium na rasilimali nyingine kugundulika Tz China si tu imeongeza misaada yake kwa Tz bali imeihakikishia ulinzi kwa yeyote ataye temper na maslahi yao /yetu. Jeuri ya Tz kuwasumbua Barrick Gold Mines Plc inatoka Beijing. Baada ya China kuleta mizizi yake ukanda huu hao wakubwa wanatafuta stability ndo maana unaskia hizo kelele toka PK, Pierre na M7.
 
Back
Top Bottom