bigboi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 1,522
- 4,758
HIVI INAKUAJE
MKUU INAKUAJE GARI NIKIWASHA AC MCHANA UBARIDI KWENYE GARI UNAKUWA KWA MBALI ILA USIKU MPKA NAHISI KUGANDA INAPIGA BALAA SIJAJU TATIZO MSAADA WAKO MKUU
Jibu ni ndiyo! Kwa sababu unapowasha Air conditioner kwenye gari unaiongezea engine mzigo wa kusukuma/kuzungusha compressor! Inakuwa kama gari inapanda mlima hivyo kuifanya engine ilazimike kutumia mafuta mengi zaidi ili kupata nguvu ya kusukuma!! Kiwango cha mafuta kinachoongezeka kinatofautiana kwa gari moja na jingine!
MKUU INAKUAJE GARI NIKIWASHA AC MCHANA UBARIDI KWENYE GARI UNAKUWA KWA MBALI ILA USIKU MPKA NAHISI KUGANDA INAPIGA BALAA SIJAJU TATIZO MSAADA WAKO MKUU