Jibu ni ndiyo! Kwa sababu unapowasha Air conditioner kwenye gari unaiongezea engine mzigo wa kusukuma/kuzungusha compressor! Inakuwa kama gari inapanda mlima hivyo kuifanya engine ilazimike kutumia mafuta mengi zaidi ili kupata nguvu ya kusukuma!! Kiwango cha mafuta kinachoongezeka kinatofautiana kwa gari moja na jingine!