A call for a respectful mature lady

Pasina shaka watoto ni baraka na zawadi toka kwa Muumba, hvyo nitakua mtu wa ajabu kutokua tayari kumkubali mwanamke mwenye watoto. Binafsi nina mtoto mmoja miaka 12. Nashukuru kunikumbusha kusemea jambo hili.
Una watoto na uko tayari kulea watoto maana huyo matured lady unaemtafuta humu baharini uwezekano wa kuwa na package yake ni mkubwa sana.
 
Inabidi atueleze vizuri yaani unafika 43 hujaoa. Au alioa akaacha.
Mkuu nilitaka kukuuliza swali lakini ID yako imekua jibu tosha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa uandishi wako tu inaonyesha we ni mstaarabu ila nakuonea huruma kwa hawa wanawake wetu aise kama nawaona watavyokuja PM kukudanganya na fake personalities nikupe angalizo kua makini nao mkuu.
 
nakuja
 
Kila la kheri...ila kuwa makini ktk kuchagua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…