Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,391
- 21,045
[emoji23][emoji23][emoji23] hapana yanikute au yasinikute vyote sawa tu,Lakini swala la kuhadithia ni halitonikuta kwakweli.Hayajakukuta ngoja ipo siku utakuja hadithia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] hapana yanikute au yasinikute vyote sawa tu,Lakini swala la kuhadithia ni halitonikuta kwakweli.Hayajakukuta ngoja ipo siku utakuja hadithia
🤣🤣🤣🤣🤣 wacha niende fastaJikaze,lol, mtwangie PM ..
Hi StigFrid
Una watoto na uko tayari kulea watoto maana huyo matured lady unaemtafuta humu baharini uwezekano wa kuwa na package yake ni mkubwa sana.
Mpaka 43 unafika mtu hujaoa tu? Kuna tatizo mahali.
Mkuu nilitaka kukuuliza swali lakini ID yako imekua jibu tosha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maisha ni safari ndefu yenye changamoto nyingi sanaInabidi atueleze vizuri yaani unafika 43 hujaoa. Au alioa akaacha.
nakujaSalaam wanajamii,
Nabisha hodi hapa jukwaani baada ya kua guest reader wa mda mrefu wa jf na kufuatia safari yangu ya kumsaka malkia wa nafsi yangu naona ni muhimu kumsaka popote alipo. Sio kwamba siwaoni au sikutani na wanawake in the touch world la hasha ila naona ni jambo jema kutoa fursa ya kukutana nae in a multdimension continum range wide as possible hata katika mtandao, nikiwa na ushuhuda wa marafiki zangu wawili kupata wenza mtandaoni (japo sio jf) na kufunga nao ndoa zinazopata kibali kwa Mungu na jamii kila siku.
Sifa zangu
Umri: 43
Kimo: 6.01 feet
Rangi ya ngozi: Mweusi (sio sana)
Elimu: Degree (Aerospace)
Kazi: Aviation/Aerospace engineer
Mwanamke yeyote atafaa ila ningependelea zaidi sifa zifuatazo:
Umri: 30 - 50 (ningependa mature lady, hawa mabinti waliotoka chuo wanafaa pia ila napenda zaidi mwanamke mature)
Kimo: Sina tatizo na kimo cha mwanamke. (Wanawake wote wanapendeza kwa tofauti za uumbwaji wao)
Rangi ya ngozi: Sina ubaguzi wowote rangi zote ni za kupendeza (mweupe, mweusi wote wanapendeza).
Elimu: Elimu yoyote sawa ili mradi awe na uwezo thabiti wa kupambanua mambo na kuamua kwa busara.
Kazi: kua au kutokua na kazi sio kipaumbele kwangu ila ingependeza kama anashughuli au career flani anai persue au biashara flani.
Tabia: Hiki ni kigezo muhimu sana kwangu, kweli ningependa mwanamke mtulivu mwenye maadili mema. Wale wanawake wabishi na mangangari hawa nawaona kama toxic and extremely poisonus tafadhali nitashukuru kama unajijua hata usirespond kwa andiko langu I can detect you a mile away.
Natoa shukrani kwa kusoma bandiko langu ila shukrani hata zaidi kwa wale watakao chukua hatua kuona kama tunaweza kua compatible their effort and step taking towards my call is highly apriciated.