Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
My self I have proved that😂😂Aisee hii sasa inaweza kiwa kweli hawa jamaa ni nyan
Sema "monkey"...!hahahah Miguna
Generali wa NRM huyo, itakuwa lazima anakula kitu cha Uzbekistan, stimu zake ni ujeuri na kuita kila mtu nincompoop na kuiambia serikali come baby come. [emoji1]Bangi ile Miguu na anavuta, ninaitaka mimi.
Sasa wewe ukivuta bangi siutaliwa nyuma !!!!???Bangi ile Miguu na anavuta, ninaitaka mimi.
kuvuta hiyo kitu na kuliwa nyuma wapi na wapi? Mbona umechanganyikiwa asubuhiSasa wewe ukivuta bangi siutaliwa nyuma !!!!???
Tatizo ilo jina lako ,watu wenyejina la tony uwa wanatabia fulani za kike kike sijui kwa nini ?kuvuta hiyo kitu na kuliwa nyuma wapi na wapi? Mbona umechanganyikiwa asubuhi
Ndugu, hamna uhusiano wowote kati ya jina la mtu na tabia yake.Tatizo ilo jina lako ,watu wenyejina la tony uwa wanatabia fulani za kike kike sijui kwa nini ?
Umekosea sana jina linabeba saikolojia 2 ,moja ni ya ndani na yapili ni ya nje ya MTUNdugu, hamna uhusiano wowote kati ya jina la mtu na tabia yake.
Sawa kama jina linatuelezea tabia, basi nikiangalia mpangilio wa jina lako "Iwiva" , ninagundua kuwa hilo jina linafanana sana na neno "wivu". Itakuwa wewe ni mtu mwenye wivu sana hata kushinda wanawakeUmekosea sana jina linabeba saikolojia 2 ,moja ni ya ndani na yapili ni ya nje ya MTU
Nguvu ya jina IPO kwenye saikoloji spirit
Sifa za watu wote wenye jina la tony baadhi ni hiziSawa kama jina linatuelezea tabia, basi nikiangalia mpangilio wa jina lako "Iwiva" , ninagundua kuwa hilo jina linafanana sana na neno "wivu". Itakuwa wewe ni mtu mwenye wivu sana hata kushinda wanawake
Sifa za watu wote wenye jina la tony baadhi ni hizi
1- wanapenda kujisikia sana
2- wanapenda usafi uliopitiliza
3- they like to be soft
4- wanapenda kunukia perfume
5 awapendi sauti za base wanapenda sauti nyembamba yaani awapendi kuwa na base ya kiume .
Zipo sifa zao zaidi ila sina muda na kuusu jina langu LWIVA umejuaje kuwa ni jina langu kweli ila lako Tony ninauakika 100% kuwa ni jina lako kwasababu najua tabia zenu wenyemajina ya tony hua ampendi kutumia majina feki
Kwa sifa hizo chache nilizo kupa proof me longNdugu, hamna uhusiano wowote kati ya jina la mtu na tabia yake.