A Car designed in Kenya, Assembled in Kenya, Global factory in Kenya with few imported parts - Mobius 2.0

yameanza kuuzwa ama bado yapo kwenye majaribio! toleo la kwanza liliishia wapi bila kuuzwa na kutoa toleo hili!? toleo lipi litaingia sokoni!!?
Toleo la kwanza yameuzwa nyingi tu. Ukija Nairobi utayaona kwa barabara.
 
Wanaouliza kuhusu specs na bei. Nazama kutazama Afcon nitarudi kupost baadaye
 
Hakuna utofaut na wanao asemble bodaboda ...mantik ni ile ile tuu,hakuna cha ajabu hapo..ni sawa namii ninunue fan kwenye box halaf nije niifunge nyumban..hahaha
 
Hayo magari ya Mobius hapo juu yana number plate za Government of Kenya kumaanisha GOK imeamua kuwapromote, which is a good move.
Safi sana jombaa, focus, usijisumbue na kelele na majungu za hawa vibwengo. Kenya ya viwanda tunaifanikisha kwa vitendo sio domo domo. Toleo la kwanza la Mobius 2.0, Novemba 2017, zilikuwa ordered zote zikiwa bado kwenye kiwanda. Order nyingi zilikuwa kutoka Kenya alafu U.S., Germany, Uganda na Tanzania. Toleo la pili nalo pre-order zilikuwa zaidi ya 300! >>> https://www.nation.co.ke/business/M...e-second-model/996-4946846-ekco1jz/index.html GoK wakiendelea kuwapa Mobius support miaka ya baadaye mambo yataendelea kunoga zaidi.
 

HABARI NDIO HII KUTOKA NG'AMBO YA PILI KUSINIIII MWA MLIMA KILIMANJARO!!!!
https://twitter.com/shadkikoti

Nyumbu car from Tanzania.
Translate Tweet


4:45 AM · Nov 10, 2013 · Photos on iOS
HAPA KAZI TU!!
 

Attachments

  • 1563156587876.png
    27.8 KB · Views: 18
Kenya ni meffi kabisa, engines, chassis, body, vipuri, vyote mnaagizia kutoka china, mnachofanya ni assembly tu, then eti mme 'design' gari yenu, danganyeni watoto wa chekechea, meffi nyie
 

Nothing Is made Locally hapo, Labda hayo Mabati,
Halafu kusema mguu kwa Mguu na Magari toka ulaya unamaanisha magari yapi? Renault, Opel, BMW, Mercedes Benz, Audi, VW, Rolls Royce na Aston Martin na Ramborghini? hilo gogo mali ya Muzungu na Ni Sawa tu Na nyumbu Toka JKT,
Hata hivyo Habari hii inakosolewa na wengi kwa sababu umeleta kwa Mihemko wakati hiyo midude pamoja na kuwa haina specs zozote za Kisasa walau hata kushindana na zile za kwenye magari ya asia kama Kina TATA, ASHOK na Hata Bajaj toka India, ni kama tu kile kuvuko cha Likoni, Ni Mali ya Muzungu bado.
NB, though ni Mali ya Muzungu, it is a Good Start, Ila tusifananishe magari ya Ulaya na haya madude.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…