Oii
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 3,930
- 3,128
Gazeti limeanza na huu mstari. Founded in 2009 by a british entrepreneur, now Nairobi based.Safi sana jombaa, focus, usijisumbue na kelele na majungu za hawa vibwengo. Kenya ya viwanda tunaifanikisha kwa vitendo sio domo domo. Toleo la kwanza la Mobius 2.0, Novemba 2017, zilikuwa ordered zote zikiwa bado kwenye kiwanda. Order nyingi zilikuwa kutoka Kenya alafu U.S., Germany, Uganda na Tanzania. Toleo la pili nalo pre-order zilikuwa zaidi ya 300! >>> https://www.nation.co.ke/business/M...e-second-model/996-4946846-ekco1jz/index.html GoK wakiendelea kuwapa Mobius support miaka ya baadaye mambo yataendelea kunoga zaidi.
Hongereni though, 1800cc, it's economical.
Alafu hii version mpya naona ndio ina orders mob, tusikie watumiaji wanasemaje.