A Car designed in Kenya, Assembled in Kenya, Global factory in Kenya with few imported parts - Mobius 2.0

A Car designed in Kenya, Assembled in Kenya, Global factory in Kenya with few imported parts - Mobius 2.0

Safi sana jombaa, focus, usijisumbue na kelele na majungu za hawa vibwengo. Kenya ya viwanda tunaifanikisha kwa vitendo sio domo domo. Toleo la kwanza la Mobius 2.0, Novemba 2017, zilikuwa ordered zote zikiwa bado kwenye kiwanda. Order nyingi zilikuwa kutoka Kenya alafu U.S., Germany, Uganda na Tanzania. Toleo la pili nalo pre-order zilikuwa zaidi ya 300! >>> https://www.nation.co.ke/business/M...e-second-model/996-4946846-ekco1jz/index.html GoK wakiendelea kuwapa Mobius support miaka ya baadaye mambo yataendelea kunoga zaidi.
Gazeti limeanza na huu mstari. Founded in 2009 by a british entrepreneur, now Nairobi based.
Hongereni though, 1800cc, it's economical.
Alafu hii version mpya naona ndio ina orders mob, tusikie watumiaji wanasemaje.
 
Bwhahaaaaa!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]muiteni IG wa somalia bana...wacheni uoga...mnaanza kuwakana wenzenu sio....mbna wale wa msumbiji hamkusema km wale ni wa kutokea kule ila waliloweya tz...

Mnaogopa mziki wa alshabab
Watz au wasomali walioloweya tz?!
 
yameanza kuuzwa ama bado yapo kwenye majaribio! toleo la kwanza liliishia wapi bila kuuzwa na kutoa toleo hili!? toleo lipi litaingia sokoni!!?
mobius I had quite many sales. Ukiwa mkaazi wa Nairobi Utakuwa umeyaona magari haya kadhaa barabarani
 
Ni mwanzo tu, na si vibaya kujisifia. Lakini sifa nazo ziwe na kikomo. Kujidai kuwa eti guu kwa guu na gari la Ulaya itakuwa umezidi tena mleta mada. Yaani design ya zamani ambayo imeshaachwa, basi ata land rover old model ukilipaka rangi linamuonekano mzuri kuliko hio ya 2019.
 
Wasitutishe!! Hata sisi tunayo ya kwetu. #NYumbu 🤣
1154161
 
Tz tuache kubeza Wakenya, hatakama wameunganisha mitambo tu na si kuunda hiyo gari lakini wanastahili kupongezwa, Leo Tz hatuna hivyo vitu, betri tu za national tumeshindwa kuzalisha
 
Tz tuache kubeza Wakenya, hatakama wameunganisha mitambo tu na si kuunda hiyo gari lakini wanastahili kupongezwa, Leo Tz hatuna hivyo vitu, betri tu za national tumeshindwa kuzalisha
sema nimeshindwa,wakati wewe umekaa tu wati wako busy wanapiga kazi.
 
Mnapoteza muda tu kushindana na mzungu..... Ombeni license tu za makampuni ya nje tuwe tunajifanyia assembly tunapata magari mapya kabisa zero mileage. Ila huu upuuzi wa kujifanya sisi ni viburi tunaanza kutengeneza from the scratch magari yamekaa kama nyani usoni mtakuja kuuwa watu usiku, mtu anaona gari linakuja bila taa anaweza kudhania ni dinosaur kumbe ni gari
 
Heheee!!naona unatafuta pa kutokea...ccm propaganda...msumbiji vile nchi dhaifu mkaamua kujifanya mashujaa..mkafungua uzi humu..eti IG wa msumbiji aitwa tanzania na makomando tayari wameenda kuwasaka majambazi...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwanza hili shambulio la jyzi wamewarahisishia...mpka mnawajua ni akina nani(alshabab)pelekeni makomando wakawasake bana...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wale ni wasomali wanaoishi Tanzania, hakuna mashiko nao. Kwanza waliingia kama walowezi
 
To correct the notion that all manufacturers build their parts by themselves! All car manufacturers assemble parts from different suppliers. Mercedes, BMW, Audi, Porsche, Renault, Citreon get their braking systems from Conti-automotive or from Bosch, and air conditioner and infotainment units from siemens VDO. Mobius does a similar thing but with Kenyan suppliers, from the glass to the shock absorbers and brackets they are made in Kenya but by different suppliers in Kenya even the body is made in Kenya. Mobius engineers design and then the suppliers build the parts according to specifications provided by Mobius engineers.
 
Wewe hakuna lugha unajua kuandika.
Jibu swali hujaambiwa ukosowe lugha.
Kuteleza kupo maana hp nina type na hyo ni typing error.
Km ww mjuaji mbona kule ulishindwa nifafanulia swali langu na ht kulielewa hukuluelewa?!
Nipe jibu
 
Heheee!!naona unatafuta pa kutokea...ccm propaganda...msumbiji vile nchi dhaifu mkaamua kujifanya mashujaa..mkafungua uzi humu..eti IG wa msumbiji aitwa tanzania na makomando tayari wameenda kuwasaka majambazi...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwanza hili shambulio la jyzi wamewarahisishia...mpka mnawajua ni akina nani(alshabab)pelekeni makomando wakawasake bana...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unabishana ujinga aisee au umeshiba githeri?!
Wale walowexi wa kisomali Tz.
Sio watz halisi acha ubishi
 
Hii habari yaonyesha imekuuma sana...ila huna la kusema kisa umekaririshwa.
Basi..hao watu wenyewe huwajui...halafu isitoshe...mtanzania n mtanzania tu...wacha ubaguzi...mbna moh dewji na akina harmonize mnawakumbatia
Unabishana ujinga aisee au umeshiba githeri?!
Wale walowexi wa kisomali Tz.
Sio watz halisi acha ubishi
 
Design ya Mobius ni flexible, inaweza ikafanyiwa modification na ikatumika kwenye kazi zingine tofauti. An SUV from Africa, by Africa, for Africa.
images
 
Back
Top Bottom