Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Holla,
December is coming, kibubu kimejaaa mahsusi kwa ajili ya matumizi ya December yuuhuuuuu.
Leave that apart, napenda sana kudance miziki inayochezeka kama hii, na nikiwa kwenye dancing floor huwa sifanyi masihara, its a matter of dancing or hold a fart
.....
Sasa basi, uzi huu utake kuwakaribisha wale wapenda kucheza mziki kama Kasie mahsusi kucheza huu wimbo wa Wizkid - Soco.
Mazoezi yaanze sasa au kwa mwezi wote huu wa November, kifanyia mazoezi video hiyo hapo chini shurti mwili unaenda upande wowote ule unaoupeleka. Haijalishi uko bonge au chikonda ni mwendo wa Soco soco soco soco soco baby oooh...
Basi kama uko tayari ku dance na Kasie in December weka miadi hapa tafadhali.
Angalizo: Dance hii haijalishi umri, uwe mzee kijana au mtu a makamo haijalishi cha muhimu uende na beats hata ukiiga hizi za kwenye video au uje na miondoko yako poa tuu. Hili sio shindano hapana bali ni dancing while enjoying the festive seasons.
As usual,
K' Matata.
December is coming, kibubu kimejaaa mahsusi kwa ajili ya matumizi ya December yuuhuuuuu.
Leave that apart, napenda sana kudance miziki inayochezeka kama hii, na nikiwa kwenye dancing floor huwa sifanyi masihara, its a matter of dancing or hold a fart
.....Sasa basi, uzi huu utake kuwakaribisha wale wapenda kucheza mziki kama Kasie mahsusi kucheza huu wimbo wa Wizkid - Soco.