A CHANCE TO DANCE SOCO WITH KASIE

A CHANCE TO DANCE SOCO WITH KASIE

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,379
Reaction score
41,294
Holla,

December is coming, kibubu kimejaaa mahsusi kwa ajili ya matumizi ya December yuuhuuuuu.

Leave that apart, napenda sana kudance miziki inayochezeka kama hii, na nikiwa kwenye dancing floor huwa sifanyi masihara, its a matter of dancing or hold a fart 1541088774337.png.....

Sasa basi, uzi huu utake kuwakaribisha wale wapenda kucheza mziki kama Kasie mahsusi kucheza huu wimbo wa Wizkid - Soco.

Mazoezi yaanze sasa au kwa mwezi wote huu wa November, kifanyia mazoezi video hiyo hapo chini shurti mwili unaenda upande wowote ule unaoupeleka. Haijalishi uko bonge au chikonda ni mwendo wa Soco soco soco soco soco baby oooh... 1541089325806.png

Basi kama uko tayari ku dance na Kasie in December weka miadi hapa tafadhali.

Angalizo: Dance hii haijalishi umri, uwe mzee kijana au mtu a makamo haijalishi cha muhimu uende na beats hata ukiiga hizi za kwenye video au uje na miondoko yako poa tuu. Hili sio shindano hapana bali ni dancing while enjoying the festive seasons.

As usual,

K' Matata. 1541089185814.png
 
Holla,

December is coming, kibubu kimejaaa mahsusi kwa ajili ya matumizi ya December yuuhuuuuu.

Leave that apart, napenda sana kudance miziki inayochezeka kama hii, na nikiwa kwenye dancing floor huwa sifanyi masihara, its a matter of dancing or hold a fart View attachment 917991.....

Sasa basi, uzi huu utake kuwakaribisha wale wapenda kucheza mziki kama Kasie mahsusi kucheza huu wimbo wa Wizkid - Soco.

Mazoezi yaanze sasa au kwa mwezi wote huu wa November, kifanyia mazoezi video hiyo hapo chini shurti mwili unaenda upande wowote ule unaoupeleka. Haijalishi uko bonge au chikonda ni mwendo wa Soco soco soco soco soco baby oooh... View attachment 918007

Basi kama uko tayari ku dance na Kasie in December weka miadi hapa tafadhali.

Angalizo: Dance hii haijalishi umri, uwe mzee kijana au mtu a makamo haijalishi cha muhimu uende na beats hata ukiiga hizi za kwenye video au uje na miondoko yako poa tuu. Hili sio shindano hapana bali ni dancing while enjoying the festive seasons.

As usual,

K' Matata. View attachment 918004
Siyo kwamba ni to dance zilipendwa???
 
Tutavunjana viuno, cheza gani hiyo !

Aahahahahaa jamaniiii viuno vinavunjika kitandani tuu. Dancing floor wewe njoo na style yako hata ukinesa nesa kama unacheza reggae hakuna shida mradi tuu uendane na beats.

Dancing haitakiwi uumie, inafaa u dance huku unafurahia mwili unavyoenda jinsi unavyoupeleka.

K' Matata.
 
Back
Top Bottom