A CHANCE TO DANCE SOCO WITH KASIE

ha ha ha ha hiyo miondoko ni shida kwa sisi wenye viungo vigumu....ila relaxing kwa Disemba ni muhimu

Hakuna mwenye viungo vigumu wala aliyezaliwa na viungo vilaini. Ni kufanya mazoezi tuu hizo step hata ukiwa mzee au bonge kama K una flow tuu kwa raha zako.

Yeah relaxing mode ishakuwa activated.
 
Hakuna starehe napenda kama music na kudance.

Tena hizo za kusuguana aiseee utabloo.

Hahahahahahaaa kama nimekuona vile ukiwa unayarudi, aiseeh mziki ukiwa una u feel kucheza kuuimba na kuusikiliza ni mtamu sana.

Ale soco soco soco soco loco loco baby ooh.
 
Sisi wagumu tukae pemben

Hapana banaa, ingiza kwenye ulingo wa dance utajistukia tuu umelainika. Dance ya wengi inanoga sanaa, unakuwa mstari wa nyuma unaibia step hatimaye unaweza hehehehe.

K' Matata.
 
Hapana banaa, ingiza kwenye ulingo wa dance utajistukia tuu umelainika. Dance ya wengi inanoga sanaa, unakuwa mstari wa nyuma unaibia step hatimaye unaweza hehehehe.

K' Matata.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aya buaanaa ntajarbu atiii
 
Mi nacheza β€˜chopin’.
 
Hakuna mwenye viungo vigumu wala aliyezaliwa na viungo vilaini. Ni kufanya mazoezi tuu hizo step hata ukiwa mzee au bonge kama K una flow tuu kwa raha zako.

Yeah relaxing mode ishakuwa activated.
ha ha ha ha ha
 
Nimetoka club sasa hivi,kuna binti ameniharibia siku mi na dance baada ya kunikaribia akanipiga na mkono kama ishara ya ku-reject,nafsi imeniuma sana,imebidi niondoke tu nisije nikaharibu show.
 
Mi nacheza β€˜chopin’.

Hhahahahahhahahahaaa chopin chopin chopin chopin chopin chopo chopo chopo chopo chopin ooh

Wee babu weeweeee.... unaweza kuyarudi magoma??
 
Nimetoka club sasa hivi,kuna binti ameniharibia siku mi na dance baada ya kunikaribia akanipiga na mkono kama ishara ya ku-reject,nafsi imeniuma sana,imebidi niondoke tu nisije nikaharibu show.

Pole, club kama hu na hakika kama mtu yuko peke yake usimkaribie yaweza leta madhara hahahaa.
 
Hhahahahahhahahahaaa chopin chopin chopin chopin chopin chopo chopo chopo chopo chopin ooh

Wee babu weeweeee.... unaweza kuyarudi magoma??

Mimi? Naweza kuyarudi magoma??

You know what Chopin....I can show you better than I can tell you.

Just make the date.
 
Mimi? Naweza kuyarudi magoma??

You know what Chopin....I can show you better than I can tell you.

Just make the date.

Wuuhuuuuuu Choopiiin.......

The date is set ....

Indian Restaurant....πŸ˜‰
 
Wuuhuuuuuu Choopiiin.......

The date is set ....

Indian Restaurant....πŸ˜‰
Mrejesho wa huyu msukuma usisahau kuuleta Kasie...

Alivo na kiuno kigumu atakuchezea kituko tu huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…