Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
ha ha ha ha haPole, club kama hu na hakika kama mtu yuko peke yake usimkaribie yaweza leta madhara hahahaa.
Mrejesho wa huyu msukuma usisahau kuuleta Kasie...
Alivo na kiuno kigumu atakuchezea kituko tu huyo
Nimefanya bookingView attachment 919179
Hahahahahahaaa wala usihofu. .... hii date ni marudio maana ile ya kwanza tulitoka droo hakuna aliyemzidi mwenzie. Sasa tulivyo wabishi tunataka kurudia ili tuone kama tutatoana droo tena au nani atamfunga mwenzie......
Aahahahahahahhaaa mzuie huyo msukuma asije akasoma hapa ntaambulia kufinywa mapajani hadi niwe mwekundu......
Mrejesho muhimu Valee ila utakuwa kwa lugha ya ki-Scotish. ...
Akikufinya nawe mng'ate....Hahahahahahaaa wala usihofu. .... hii date ni marudio maana ile ya kwanza tulitoka droo hakuna aliyemzidi mwenzie. Sasa tulivyo wabishi tunataka kurudia ili tuone kama tutatoana droo tena au nani atamfunga mwenzie......
Aahahahahahahhaaa mzuie huyo msukuma asije akasoma hapa ntaambulia kufinywa mapajani hadi niwe mwekundu......
Mrejesho muhimu Valee ila utakuwa kwa lugha ya ki-Scotish. ...
Akikufinya nawe mng'ate....
Bahati nzuri huna ujanja wa kunipiga konyezo langu litakufanya ughairi mwenyewe tehWe ni wa kupigwa makonzi tu! Hakuna namna....
Weweeeee.....nikikukamata utaipata.