A CHANCE TO DANCE SOCO WITH KASIE

A CHANCE TO DANCE SOCO WITH KASIE

Nimefanya booking
Dq8U01hU8AApI6F.jpeg
 
Mrejesho wa huyu msukuma usisahau kuuleta Kasie...

Alivo na kiuno kigumu atakuchezea kituko tu huyo

Hahahahahahaaa wala usihofu. .... hii date ni marudio maana ile ya kwanza tulitoka droo hakuna aliyemzidi mwenzie. Sasa tulivyo wabishi tunataka kurudia ili tuone kama tutatoana droo tena au nani atamfunga mwenzie......

Aahahahahahahhaaa mzuie huyo msukuma asije akasoma hapa ntaambulia kufinywa mapajani hadi niwe mwekundu......

Mrejesho muhimu Valee ila utakuwa kwa lugha ya ki-Scotish. ...
 
Weweeeee.....nikikukamata utaipata.
 
Akikufinya nawe mng'ate....
 
Weweeeee.....nikikukamata utaipata.

Hahahahahahaaa Chopin Chopin chop chop Chopin chop Oohiiooooh.

Mi nahisi itakuwa hivii, tutaipata wote...... rhomboids na trapezium. ..... biceps and triceps zitahusika.

Ekibinda nkoii, tosimbana mabokoo.

K' Chopin.
 
Akikufinya nawe mng'ate....

Usihofu Valee, wanyamwezi na wasukuma ni mtu na binamu yake...... huyu msukuma nammudu nayeye pia hivyohivyo.

Heheheheee naomba NN asisome hapa maana mbio zitanihusu aahahahahaa.
 
Back
Top Bottom