chlorine gas
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 2,522
- 2,651
Sisi wagumu tukae pemben
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ha ha hiyo miondoko ni shida kwa sisi wenye viungo vigumu....ila relaxing kwa Disemba ni muhimu
Hakuna starehe napenda kama music na kudance.
Tena hizo za kusuguana aiseee utabloo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aya buaanaa ntajarbu atiiiHapana banaa, ingiza kwenye ulingo wa dance utajistukia tuu umelainika. Dance ya wengi inanoga sanaa, unakuwa mstari wa nyuma unaibia step hatimaye unaweza hehehehe.
K' Matata.
Holla,
December is coming, kibubu kimejaaa mahsusi kwa ajili ya matumizi ya December yuuhuuuuu.
Leave that apart, napenda sana kudance miziki inayochezeka kama hii, na nikiwa kwenye dancing floor huwa sifanyi masihara, its a matter of dancing or hold a fart View attachment 917991.....
Sasa basi, uzi huu utake kuwakaribisha wale wapenda kucheza mziki kama Kasie mahsusi kucheza huu wimbo wa Wizkid - Soco.
Mazoezi yaanze sasa au kwa mwezi wote huu wa November, kifanyia mazoezi video hiyo hapo chini shurti mwili unaenda upande wowote ule unaoupeleka. Haijalishi uko bonge au chikonda ni mwendo wa Soco soco soco soco soco baby oooh... View attachment 918007
Basi kama uko tayari ku dance na Kasie in December weka miadi hapa tafadhali.
Angalizo: Dance hii haijalishi umri, uwe mzee kijana au mtu a makamo haijalishi cha muhimu uende na beats hata ukiiga hizi za kwenye video au uje na miondoko yako poa tuu. Hili sio shindano hapana bali ni dancing while enjoying the festive seasons.
As usual,
K' Matata. View attachment 918004
ha ha ha ha haHakuna mwenye viungo vigumu wala aliyezaliwa na viungo vilaini. Ni kufanya mazoezi tuu hizo step hata ukiwa mzee au bonge kama K una flow tuu kwa raha zako.
Yeah relaxing mode ishakuwa activated.
Nimetoka club sasa hivi,kuna binti ameniharibia siku mi na dance baada ya kunikaribia akanipiga na mkono kama ishara ya ku-reject,nafsi imeniuma sana,imebidi niondoke tu nisije nikaharibu show.
Hhahahahahhahahahaaa chopin chopin chopin chopin chopin chopo chopo chopo chopo chopin ooh
Wee babu weeweeee.... unaweza kuyarudi magoma??
Wuuhuuuuuu Choopiiin.......
The date is set ....
Indian Restaurant....😉
Mrejesho wa huyu msukuma usisahau kuuleta Kasie...Wuuhuuuuuu Choopiiin.......
The date is set ....
Indian Restaurant....😉
Mrejesho wa huyu msukuma usisahau kuuleta Kasie...
Alivo na kiuno kigumu atakuchezea kituko tu huyo
Vipi umenimiss?Muree [emoji2935][emoji2935][emoji2935][emoji2935]