A country where English language is compulsory but agriculture is optional

Kiswahili kimetoka wapi hapa mkuu.
Ni kilimo mashuleni Vs kingereza.
kwanini kilimo na si minerals au factory manufacturing au innovation?

au services?

kwanini kilimo?

why this obsession with kilimo?

why imposing and forcing people to do kilimo kwa lazima?

just leave people alone to use their choice and brains to generate wealth for themselves and their dependents using methods they want for themselves.

why forcing them to be farmers tu na si kitu kingine?

kama chakula ni muhimu sana,leave it to the market,the market will shift to cover for the food void itself.

waache watu waamue kitu cha kufanya wanachoona kinawapendeza wao,msiwalazimishie vitu hawavitaki,wenye kuvitaka watavifanya,kama vina hela sana wataamua wao kufanya kwa utashi wao
 
Hiyo ndo sera ya nchi mkuu.
Na watanzania wengi wanategemea kilimo kama chanzo chao kikuu cha mapato.

Pamoja na kukitegemea huko bado hawakifanyi kwa ufasaha kwa kukosa stadi na maarifa hata madogo tu badala yake wanalima kizamani.

Sera ya chama tawala ambayo ndio serikali yako inatambua kilimo kama nyenzo muhimu ya maendeleo ya nchi.

Sasa hiyo nyenzo muhimu kutopewa kipaombele lazima iwe ajabu, kilikuwepo zamani kama somo na shule zake zilikuwepo na matokeo yalionekana lakini leo unazalisha wasomo wajuvi wa kingereza wavivu wa kutekeleza.

Mzee kwa nchi hii na ardhi hii tele kilimo kingetoa wengi sana ni vile.
Umesoma kingereza hadi form 4 kinakusaidia nini??
 
Hiyo ndo sera ya nchi mkuu.
Sera ya nchi waliyopanga wanasiasa,lakini SILAZIMISHWI kufanya kilimo ndio shughuli yangu ya kupata mali dunia hii

Nadhani unashindwa kuelewa sawasawa,hakuna anaelazimishwa

Mipango ya serikali na sera za serikali ni sera za serikali,halazimishwi mtu kufanya inachotaka serikali kama sivunji sheria zilizopo

Na kunilazimisha kufanya chochote haimaanishi nitafanya unavyotaka wewe au kwa kiwango unachotaka wewe,hivyo matokeo unayotegemea unaweza feli kupita maelezo,mwisho wa siku haina maana kwako kama serikali

Pamoja na kukitegemea huko bado hawakifanyi kwa ufasaha kwa kukosa stadi na maarifa hata madogo tu badala yake wanalima kizamani.
Nafikiri ni vizuri haya ya kilimo ukaongea na wanafanya hizi shughuli mkaeleweshana njia bora za kilimo.Ukiongea na mimi wakati interest yangu mimi na investments zangu napenda kuweka kwenye construction au mining au imports,etc ntakua nakuona kichaa tu

Hizo information pelekea wenye uhitaji nazo,sio wote tunazitaka

Sasa hiyo nyenzo muhimu kutopewa kipaombele lazima iwe ajabu, kilikuwepo zamani kama somo na shule zake zilikuwepo na matokeo yalionekana lakini leo unazalisha wasomo wajuvi wa kingereza wavivu wa kutekeleza.
Weka somo hapo,wenye kulipenda watalipenda wasio lipenda huwezi walazimisha mkuu

Market ndio the ultimate judge mkuu wa hayo masomo unayolazimishia watu into their throats.

Mzee kwa nchi hii na ardhi hii tele kilimo kingetoa wengi sana ni vile.
Umesoma kingereza hadi form 4 kinakusaidia nini??
Kingereza kimenisaidia leo nakufanyia operation hospitali

Kimesaidia nasimamia na kudesign madaraja unayopitisha mazao yako kwenda kuuza

Kimesaidia nimedesign na kusimamia mitambo ya mawasiliano unapigia kila mtu duniani kuuza hayo mazao,bila mimi usingeweza kufanya lolote let alone to exist

Usiwe na dharau ndugu
 
Sera ya nchi waliyopanga wanasiasa,lakini SILAZIMISHWI kufanya kilimo ndio shughuli yangu ya kupata mali dunia hii

Nadhani unashindwa kuelewa sawasawa,hakuna anaelazimishwa

Mipango ya serikali na sera za serikali ni sera za serikali,halazimishwi mtu kufanya inachotaka serikali kama sivunji sheria zilizopo

Na kunilazimisha kufanya chochote haimaanishi nitafanya unavyotaka wewe au kwa kiwango unachotaka wewe,hivyo matokeo unayotegemea unaweza feli kupita maelezo,mwisho wa siku haina maana kwako kama serikali

Nafikiri ni vizuri haya ya kilimo ukaongea na wanafanya hizi shughuli mkaeleweshana njia bora za kilimo.Ukiongea na mimi wakati interest yangu mimi na investments zangu napenda kuweka kwenye construction au mining au imports,etc ntakua nakuona kichaa tu

Hizo information pelekea wenye uhitaji nazo,sio wote tunazitaka

Weka somo hapo,wenye kulipenda watalipenda wasio lipenda huwezi walazimisha mkuu

Market ndio the ultimate judge mkuu wa hayo masomo unayolazimishia watu into their throats.

Kingereza kimenisaidia leo nakufanyia operation hospitali

Kimesaidia nasimamia na kudesign madaraja unayopitisha mazao yako kwenda kuuza

Kimesaidia nimedesign na kusimamia mitambo ya mawasiliano unapigia kila mtu duniani kuuza hayo mazao,bila mimi usingeweza kufanya lolote let alone to exist

Usiwe na dharau ndugu
Ukisoma kingereza kwa lazima kisa unaona kina manufaa kwako ni sawa ila kusoma kilimo kisa hakin manufaa kwako sio sawa, mbona unakua na double standard mkuu.

Kikubwa somo liwekwe kama ilivyo stadi za kazi huko primary, atakae ona lina umuhimu ataendelea nalo.

Si wapo pia wanaosoma kiswahili, kifaransa nk wakifika vyuoni. Ndivyo hivyo inatakiwa iwe.

Na mkuu maarifa hutafutwa, usidhani kama tusingejifunza kingereza basi nchi isingepiga hatua ni vile tu ukoloni mamboleo tunao sana.

Na narudia tena kukwambia kua maarifa hayapo kwenye lugha ya kingereza pekee!! Kingereza kimetohoa maneno mengi kutoka lugha za wavumbuzi, hata o'level tu uliona jinsi majina ya masomo mengi si majina ya kingereza bali wametohoa.
Ila kwakua sisi tulichagua kingereza kama lugha ya kufundishia mazhuleni basi ndo inaonekana kama ndo lugha gunduzi wakati sivyo.
 
Ukisoma kingereza kwa lazima kisa unaona kina manufaa kwako ni sawa ila kusoma kilimo kisa hakin manufaa kwako sio sawa, mbona unakua na double standard mkuu.
lugha ni natural instict ya wanadamu ndugu

sio kilimo

ni natural na ni haki ya kila mwanadamu...kilimo sio haki na natural to human beings

kufananisha lugha na kilimo ni uhayawani unaonesha hapa
 
Kila binadamu ana haki ya kujua kingereza !!(ajabu hii) na sio kila mtu ana haki ya kuwasiliana. Usichanganye hapo ndgu, lugha bi nyingi sana sio kingereza tu kuna hadi sign & gesture lg's.

Sio lazima kuwasiliana kwa kingereza.

Haifananishwi lugha, lugha ni neno pana specify kua ni kingereza mashuleni na kilimo mashuleni.

Kama ilivyo kingereza na kilimo ingeku hivyo pia.
Unalazimishwa kusoma physics, chemestry etc hata kama huko mbele hutakuja yatumia badala yake utasoma zako HKL na kua mwalimu wa kiswahili.

Sasa basi hoja ni kua kwanini kilimo nacho kisiwe moja ya hayo masomo.
Litakua ni somo ambalo naamini 85% ya wanafunzi watatumia stadi zake mtaani.
Sijui unaelewa hapo ndgu yangu.
 
Mkuu

Maarifa yote tuliyonayo mashuleni na vyuoni yote tume import kutoka Western super countries

Maana sisi kama Waswahili hatuna maarifa yetu tuliyovumbua

Ni lazima tutumie nyenzo ya Kingereza/English ili tuweze kuyaelewa haya maarifa ya mzungu yatusaidie karne hii ya 21.

Sisi kama Waswahili hatuna maarifa,yote tume import,kuanzi la Kwanza mpaka PHD!

Maarifa ni sahihi zaidi kama yapo kwenye lugha yake original ambayo ni English,ukitafsiri tu maarifa yanaanza kupotea!

Chagua kimoja,upate maarifa ya ubabaifu au usome kwa lugha yao original ya mvumbuzi ambae ni mzungu?
Mleta mada mmemwelewa kweli kwann kama haujamwelewa usipite tu bila comment

Mleta Uzi

Kimsingi anaisema nchi ya Tanzania ,kwann

Nchi hiyo imejinasibu UTI wa mgongo wa nchi ni kilimo ,lakini katazame hicho kilimo hata mashuleni mitaala yake ikoje ,kilimo ndio uchumi ,lugha kipaumbele na lugha haijawa UTI wa mgongo wanchi

Uvumbuzi ,unaosema utategemea lugha bila uchumi au ndo hayo mnafurahia , lugha na uvumbuzi ukitegemea gharama Toka kwa babylone !! Wasipowaletea pesa kufadhili uvumbuvu itakuwaje mana kingereza mnacho ?
 
Nimekuelewa sana ,Tanzania nchi ngumu sana pamoja kilimo kimeandikwa kwenye katiba kama UTI wamgongo ,lugha ya kingereza inatamalaki kilimo mwendo dosedose
 
Back
Top Bottom