Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
Kisukari ni ugonjwa ambao unatishia maisha ya watu wengi duniani na Tanzania.Kwa bahati mbaya tumefundishwa kwamba mtu akishapata Kisukari ni death sentence. Madaktari uchwara wanasema it is chronic,progressive and incurable,hii sio kweli.Ugonjwa wa Kisukari unapona.
Kama wewe ni mwathirika wa Kisukari,tafadhali fuatilia link ifuatayo ili uweze kujua jinsi ya kujitibu.Ni rahisi, wala haina gharama zozote.Metformin na madawa mengine wanayodai yanatibu Kisukari (Type 2 Diabetes) ndiyo death sentence yako!