A 'Cure' for Type 2 Diabetes:Dr.Jason Fung's 2 Easy Steps.

A 'Cure' for Type 2 Diabetes:Dr.Jason Fung's 2 Easy Steps.

Mathanzua

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2017
Posts
17,251
Reaction score
22,929
Kisukari ni ugonjwa ambao unatishia maisha ya watu wengi duniani na Tanzania.Kwa bahati mbaya tumefundishwa kwamba mtu akishapata Kisukari ni death sentence. Madaktari uchwara wanasema it is chronic,progressive and incurable,hii sio kweli.Ugonjwa wa Kisukari unapona.

Kama wewe ni mwathirika wa Kisukari,tafadhali fuatilia link ifuatayo ili uweze kujua jinsi ya kujitibu.Ni rahisi, wala haina gharama zozote.Metformin na madawa mengine wanayodai yanatibu Kisukari (Type 2 Diabetes) ndiyo death sentence yako!
 
Kisukari ni ugonjwa ambao unatishia maisha ya watu wengi duniani na Tanzania.Kwa bahati mbaya tumefundishwa kwamba mtu akishapata Kisukari ni death sentence. Madaktari uchwara wanasema it is chronic,progressive and incurable,hii sio kweli.Ugonjwa wa Kisukari unapona.Kama wewe ni mwathirika wa Kisukari,tafadhali fuatilia link ifuatayo ili uweze kujua jinsi ya kujitibu.Ni rahisi, wala haina gharama zozote.Metformin na madawa mengine wanayodai yanatibu Kisukari (Type 2 Diabetes) ndiyo death sentence yako!
A 'cure' for type 2 diabetes: Dr Jason Fung's 2 easy steps - FOODMED.NET
Noted kwa DM patients
 
Back
Top Bottom