A day in the Buddhist college

A day in the Buddhist college

Katika meditation,ni kitu gani"neno"hisia na kutafakari" kunakoweza kutumika kuamlisha jambo liwe na likawa?kutatua matatizo au kujipatia maendeleo ya kiuchumi kupitia meditation? Hapa namaanisha ni njia zipi za kuzingatia ili kuvuka sehemu moja kwenda nyingine kwa nguvu binafsi

Kwenye meditation hakuna hisia(feelings) kuna will power, power to create.. Kwamba unataka hili liwe halafu linakuwa
 
Mkuu mshana jr ntakutafuta tufanye iyo retreat....

Embu mkuu elezea ile journey to west Na king monkey!,

Yey monkey alitokea wap Na ile power??!.

Ile sutra waliyoenda retrieve ilikuwa na maudhui gan kwa wanadam wa kawaida!!!,

Kama kwenye Buddha wanaamin mapepo Na majini viumbe,je kuna chanting yoyote ambayo inawafanya wale majini Na mapepo ambayo yanataka kudhuru wanadamu yakaacha???
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mshana, samahani kwa kukurudisha nyuma kidogo! Uliwezaje kurudi chuoni baada ya tukio la kupoteza fahamu(kwanini walikuruhusu uondoke wakati umeshajua siri zao na wanajua unapoishi?). Swali lingine ni kwanini hukufukuzwa chuoni baada ya kurudi asubuhi, ukizingatia chuo kina sheria kali na wewe ulitoroka!
 
hivi mkuu kuna tofauti gani kati ya manki na shaolin?

Monk sio manki ni mtawa, shaolin ni jina la mahali ambapo palijengwa seminary maarufu ya kibuddha- Shaolin Temple ambayo ilikuja kutoa the best martial arts figures kama kina Jet Lee na Jack Chan
 
Mkuu mshana jr ntakutafuta tufanye iyo retreat....

Embu mkuu elezea ile journey to west Na king monkey!,

Yey monkey alitokea wap Na ile power??!.

Ile sutra waliyoenda retrieve ilikuwa na maudhui gan kwa wanadam wa kawaida!!!,

Kama kwenye Buddha wanaamin mapepo Na majini viumbe,je kuna chanting yoyote ambayo inawafanya wale majini Na mapepo ambayo yanataka kudhuru wanadamu yakaacha???

Haina shida lakini ina changamoto zake nyingi tu
Journey to the west inaelezea ugumu wa kueneza imani ya kibuddha
Ile Sutra kwa kiasi kikubwa inaakisi maisha ya kawaida ya binadamu na mkanganyiko kati ya imani na ulimwengu wa roho
Chanting zipo nyingi sana
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mshana, samahani kwa kukurudisha nyuma kidogo! Uliwezaje kurudi chuoni baada ya tukio la kupoteza fahamu(kwanini walikuruhusu uondoke wakati umeshajua siri zao na wanajua unapoishi?). Swali lingine ni kwanini hukufukuzwa chuoni baada ya kurudi asubuhi, ukizingatia chuo kina sheria kali na wewe ulitoroka!

Kama nilivyosema kuna mengi yalitokea usiku ule, waliniruhusu niondoke kwakuwa tayari mimi ni mwanafunzi wa kibuddha na walikuwa na matumaini na mimi kuwa ningeweza kuja kuwa agent wao
Pale chuoni huwezi kurudi asubuhi halafu usalimike mimi nilirudi alfajili kabla hakujapambazuka
 
Mkuu sijui nitakuwa n'je ya mada au laaah ila napenda kujua kuhusu huyu mnyama #dragon sijui yupo au alikuwepo kweli au ni story za vitabu na masuala yote ya kiimani kuhusu mnyama huyo kama unajua chochote... mshanajr
 
Last edited by a moderator:
Mkuu sijui nitakuwa n'je ya mada au laaah ila napenda kujua kuhusu huyu mnyama #dragon sijui yupo au alikuwepo kweli au ni story za vitabu na masuala yote ya kiimani kuhusu mnyama huyo kama unajua chochote... mshanajr
Playboy dragon ni mnyama wa kufikirika kama ilivyo nguva, ndio maana mpaka kesho hakuna mabaki yake kama yale ya dinosaur
Lakini hata hivyo zipo habari kuwa dragon ni aina ya pepo au mzimu na huonekana akipaa tu tena kwa nadra na sekunde chache mno
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom