Ile ni kupeana tu maarifa..! Mtu akishakufa amekufa...kila kifo hakikosi sababuMshana swali langu jingine nimeona umezungumzia kifo cha gafla lakin hospital wanasema ni shinikizo la damu je wawezaje tambua kifo ni cha utata je huo ugonjwa hauuwi manake SKU izi watu wengi wanakufa kwa huo ugonjwa ina maana wanachukuliwa au
Mi nataka nichukue maujuzi kwao!! Sa VP khsu ada?Hulazimishwi hata mara moja
Kupata ufahamu wa juu zaidi kuhusu elimu isiyojulikana
Asant mkuu ofc zpo on muda gani?!Nenda pale Upanga mtaa wa Mind nyumba ya tano kulia utapata utaratibu wote
Mkuu ndiyo najiandaa nataka nifike mapema!Muda wote kasoro usiku
Yap! Nitakupa mrejesho baadaeOk umepafahamu vema?
Huko ulipokuwa naamini kulikuwa na viapo kwani inaonekana humu JF kuna wenzako wanafahamu hivi vitu ila wanaogopa kuvisimulia,je mshana huoni kwa kuanzisha hiko kituo utahatarisha maisha yako?Maandalizi ya kuwa na kituo cha kwanza cha utafiti wa imani mbalimbali yameanza. Kitaitwa MULT-FAITH RESEARCH SOCIETY tutakuwa na wakati mzuri hapo
Unamaanisha meditation? Maisha yetu chuoni yalijaa meditation lakini ile ya kukaa kimya kwenye lotus posture (yenye maumivu mengi sana) ilikuwa ni dk 50 kila siku lakini pia tulikuwa na meditation retreats za siku 3,5 na 7
Wengi wameulizia kuhusu vitabu lakini bado sijafikia maamuziBinafsi hakuna thread ambayo nimwahi kuisoma word to word kama hii,pamoja na kituo cha utafiti je hauna wazo la kuchapisha vitabu? naomba unitag mada zako kama hiyo ya "siku hizi matendo hayaendani na matendo" na "PATO"
Mie tenaaaaa [emoji28] [emoji28] mfukunyunyuNaona umeipata hongera sana
Mhhh nini kilikuvutia na hii kozi?Initial/basics ni miaka miwili baada ya hapo unaenda Asia miaka mitatu, mwishoni mwa mwaka wa tatu unafanyiwa ordination kuwa official Buddhist master
Ordination si kitu kidogo nikitu kikubwa mno kwakuwa ndio unapigwa mhuri rasmi