A day in the Buddhist college

A day in the Buddhist college

Mshan jr hongeraaa

Mm ni maswali in Gawanya sijui labia yameulizwa

1 wakatii unatorokaa Kuja kujirushaa mjini ulikikuanaa vijana mkatofatiana na kujenga u adui Sasa maswali yangu

A. Kisaa cha ugomvi wenu ulikua nini
Vijana wale wa kule mtaani ishu zilikuwa mademu
 
Pesa za matumizi kujirushaa na kununua silaha ulipata wapi
Tulikuwa tunalipwa pocket money kila mwezi ambayo hatukuwa na kazi nayo kwakuwa tulipata kila kitu bure toka chuoni
Lakini vilevile tulikuwa tunapewa bahasha kila tulipoenda kufanya ibada nje ya chuo hasa za mazishi
 
attachment.php

Hapa ndio chuo nilipoanzia kujifunza mambo ya Buddhism, meditation, chanting nk. Hii ni picha ya mwaka 1997, na hiyo ni sehemu ya wanachuo.

Hiki kilikuwa ni chuo kugumu na chenye sheria kali kuliko jeshi, tulikuwa wanachuo 21 toka Tanzania lakini tulifanikiwa kumaliza chuo tulikuwa kumi tu na mwishoni watano.

Tulipewa kila kitu bure lakini vinavyofanana kuanzia nguo mpaka dawa ya mswaki. Tuliishi maisha ya useja(total celibacy) huku tukiziadhibu hisia kwa kiwango cha juu mno.!

Tulikuwa kwenye self cultivation (bringing back the scattered mind)Na hii ndio ilikuwa ratiba ya siku moja inayojirudia mara sita kwa wiki.

05:40 kuamka kutandika vitanda na kupiga mswaki/kuiga

05:50 parade/rollcall

06:00-0650 chanting/meditation

06:50-07:00 parade/rollcall na kwenda dining hall kimya na kwa mistari bila kuangalia kulia wala kushoto

07:20 chanting n giving offerings kwa milefo,na hungry ghost kisha breakfast

07:20-07:50 usafi

07:50-8:00 parade/roll call na kuingia darasani

Vipindi vilikuwa ni dk 50 mapumziko dk 10 kuanzia saa mbili mpaka saa tano na dk 50

11:50-12:00 parade/ roll call na kumatch kwa mistari iliyonyooka kwenda dining

-Kuchant kutoa offerings kwa Milefo(future buddha?), hungry ghosts na kisha kula

12:00-13:50-lunch, walking meditation na kupumzika

13:50-14:00 parade roll call na darasani mpaka saa 15:50

15:50-16:00 parade roll call na kubadili nguo

16:00-16:50 martial arts, kung fu karate tai chi nk

16:50-17:50 free time hapa ndio sasa mnaweza kupiga soga na kuendelea na martia arts gym library etc

17:50-18:00 parade rollcall na kumatch kwenda dining

18:00-18:50 chanting offerings kwa Buddha na hungry ghost na kupata dinner

18:50-19:00 parade roll call

19:00-20:50 darasani

20:50-21:50 meditation/chanting

21:50-20:00 kurudi vyumbani kwa kumatch kwenye mistari tena kimya, kuingia vyumbani kuzima taa na kulala
Ukionekana nje baada ya hapo ni majanga

Chuo kiliongozwa na sheria kwenye kila kitu, sheria ya kutumia Maji, kutembea, kuongea kukaa kula kugeuka kulala, kutandika kuvaa etc kila kitu kilikuwa ni sheria na ndio maana wengi sana walishindwa maisha yale
Hii picha ni jinsi tulivyokuwa tunakaa mstarini kila mtu na nafasi yake kwahiyo hata kama haupo nafasi yako inabaki wazi.

View attachment 274159
Duh mkuu hiyo ilikuwa ni shida ila hongera Vp vigezo vyao vya kujiunga huko
 
Mmh kwasasa nadhani ni kujitegemea kwa kila kitu, walioharibu ni wale waliopelekwa kwa gharama za chuo kisha wakaingia mitini
 
attachment.php

kaka nimesoma hapo walikuwa wakiniita Ben Yue wewe sijui ulikuwa ukiitwa Ben nani pia mtoto wa baba wa taifa mwalimu nyerere (nadhani andrew) alikuja hapo chuoni mwaka 2002 akataka kujiunga lakini ghafla akaghairi. ni moment ambayo nilikua sana kiroho pengine kuliko wakati wowote maishani

Hapa ndio chuo nilipoanzia kujifunza mambo ya Buddhism, meditation, chanting nk. Hii ni picha ya mwaka 1997, na hiyo ni sehemu ya wanachuo.

Hiki kilikuwa ni chuo kugumu na chenye sheria kali kuliko jeshi, tulikuwa wanachuo 21 toka Tanzania lakini tulifanikiwa kumaliza chuo tulikuwa kumi tu na mwishoni watano.

Tulipewa kila kitu bure lakini vinavyofanana kuanzia nguo mpaka dawa ya mswaki. Tuliishi maisha ya useja(total celibacy) huku tukiziadhibu hisia kwa kiwango cha juu mno.!

Tulikuwa kwenye self cultivation (bringing back the scattered mind)Na hii ndio ilikuwa ratiba ya siku moja inayojirudia mara sita kwa wiki.

05:40 kuamka kutandika vitanda na kupiga mswaki/kuiga

05:50 parade/rollcall

06:00-0650 chanting/meditation

06:50-07:00 parade/rollcall na kwenda dining hall kimya na kwa mistari bila kuangalia kulia wala kushoto

07:20 chanting n giving offerings kwa milefo,na hungry ghost kisha breakfast

07:20-07:50 usafi

07:50-8:00 parade/roll call na kuingia darasani

Vipindi vilikuwa ni dk 50 mapumziko dk 10 kuanzia saa mbili mpaka saa tano na dk 50

11:50-12:00 parade/ roll call na kumatch kwa mistari iliyonyooka kwenda dining

-Kuchant kutoa offerings kwa Milefo(future buddha?), hungry ghosts na kisha kula

12:00-13:50-lunch, walking meditation na kupumzika

13:50-14:00 parade roll call na darasani mpaka saa 15:50

15:50-16:00 parade roll call na kubadili nguo

16:00-16:50 martial arts, kung fu karate tai chi nk

16:50-17:50 free time hapa ndio sasa mnaweza kupiga soga na kuendelea na martia arts gym library etc

17:50-18:00 parade rollcall na kumatch kwenda dining

18:00-18:50 chanting offerings kwa Buddha na hungry ghost na kupata dinner

18:50-19:00 parade roll call

19:00-20:50 darasani

20:50-21:50 meditation/chanting

21:50-20:00 kurudi vyumbani kwa kumatch kwenye mistari tena kimya, kuingia vyumbani kuzima taa na kulala
Ukionekana nje baada ya hapo ni majanga

Chuo kiliongozwa na sheria kwenye kila kitu, sheria ya kutumia Maji, kutembea, kuongea kukaa kula kugeuka kulala, kutandika kuvaa etc kila kitu kilikuwa ni sheria na ndio maana wengi sana walishindwa maisha yale
Hii picha ni jinsi tulivyokuwa tunakaa mstarini kila mtu na nafasi yake kwahiyo hata kama haupo nafasi yako inabaki wazi.

View attachment 274159
 
attachment.php

Hapa ndio chuo nilipoanzia kujifunza mambo ya Buddhism, meditation, chanting nk. Hii ni picha ya mwaka 1997, na hiyo ni sehemu ya wanachuo.

Hiki kilikuwa ni chuo kugumu na chenye sheria kali kuliko jeshi, tulikuwa wanachuo 21 toka Tanzania lakini tulifanikiwa kumaliza chuo tulikuwa kumi tu na mwishoni watano.

Tulipewa kila kitu bure lakini vinavyofanana kuanzia nguo mpaka dawa ya mswaki. Tuliishi maisha ya useja(total celibacy) huku tukiziadhibu hisia kwa kiwango cha juu mno.!

Tulikuwa kwenye self cultivation (bringing back the scattered mind)Na hii ndio ilikuwa ratiba ya siku moja inayojirudia mara sita kwa wiki.

05:40 kuamka kutandika vitanda na kupiga mswaki/kuiga

05:50 parade/rollcall

06:00-0650 chanting/meditation

06:50-07:00 parade/rollcall na kwenda dining hall kimya na kwa mistari bila kuangalia kulia wala kushoto

07:20 chanting n giving offerings kwa milefo,na hungry ghost kisha breakfast

07:20-07:50 usafi

07:50-8:00 parade/roll call na kuingia darasani

Vipindi vilikuwa ni dk 50 mapumziko dk 10 kuanzia saa mbili mpaka saa tano na dk 50

11:50-12:00 parade/ roll call na kumatch kwa mistari iliyonyooka kwenda dining

-Kuchant kutoa offerings kwa Milefo(future buddha?), hungry ghosts na kisha kula

12:00-13:50-lunch, walking meditation na kupumzika

13:50-14:00 parade roll call na darasani mpaka saa 15:50

15:50-16:00 parade roll call na kubadili nguo

16:00-16:50 martial arts, kung fu karate tai chi nk

16:50-17:50 free time hapa ndio sasa mnaweza kupiga soga na kuendelea na martia arts gym library etc

17:50-18:00 parade rollcall na kumatch kwenda dining

18:00-18:50 chanting offerings kwa Buddha na hungry ghost na kupata dinner

18:50-19:00 parade roll call

19:00-20:50 darasani

20:50-21:50 meditation/chanting

21:50-20:00 kurudi vyumbani kwa kumatch kwenye mistari tena kimya, kuingia vyumbani kuzima taa na kulala
Ukionekana nje baada ya hapo ni majanga

Chuo kiliongozwa na sheria kwenye kila kitu, sheria ya kutumia Maji, kutembea, kuongea kukaa kula kugeuka kulala, kutandika kuvaa etc kila kitu kilikuwa ni sheria na ndio maana wengi sana walishindwa maisha yale
Hii picha ni jinsi tulivyokuwa tunakaa mstarini kila mtu na nafasi yake kwahiyo hata kama haupo nafasi yako inabaki wazi.

View attachment 274159

Hapo wanaabudu kivuli chako au vipi mkuu?
 
Initial/basics ni miaka miwili baada ya hapo unaenda Asia miaka mitatu, mwishoni mwa mwaka wa tatu unafanyiwa ordination kuwa official Buddhist master
Ordination si kitu kidogo nikitu kikubwa mno kwakuwa ndio unapigwa mhuri rasmi
Ulifikia hatua ya kupigwa muhuri?
 
Leo asubuhi mi na mme wangu tulikuwa tunamsikiliza kijana wa canada alivyohitaji consent ya wazazi ndo awe monk. Wewe uliipata au ulisepa?? Huku tuna watoto wadogo sana as young as 7 years lakini wengi wanatoka familia maskini saa 12 wapo barabarani kuomba chakula ambacho ni kitu cha kawaida.
 
Back
Top Bottom