Vijana wale wa kule mtaani ishu zilikuwa mademuMshan jr hongeraaa
Mm ni maswali in Gawanya sijui labia yameulizwa
1 wakatii unatorokaa Kuja kujirushaa mjini ulikikuanaa vijana mkatofatiana na kujenga u adui Sasa maswali yangu
A. Kisaa cha ugomvi wenu ulikua nini
Pesa ulipata wapiiiVijana wale wa kule mtaani ishu zilikuwa mademu
Tulikuwa tunalipwa pocket money kila mwezi ambayo hatukuwa na kazi nayo kwakuwa tulipata kila kitu bure toka chuoniPesa za matumizi kujirushaa na kununua silaha ulipata wapi
Duh mkuu hiyo ilikuwa ni shida ila hongera Vp vigezo vyao vya kujiunga huko
Hapa ndio chuo nilipoanzia kujifunza mambo ya Buddhism, meditation, chanting nk. Hii ni picha ya mwaka 1997, na hiyo ni sehemu ya wanachuo.
Hiki kilikuwa ni chuo kugumu na chenye sheria kali kuliko jeshi, tulikuwa wanachuo 21 toka Tanzania lakini tulifanikiwa kumaliza chuo tulikuwa kumi tu na mwishoni watano.
Tulipewa kila kitu bure lakini vinavyofanana kuanzia nguo mpaka dawa ya mswaki. Tuliishi maisha ya useja(total celibacy) huku tukiziadhibu hisia kwa kiwango cha juu mno.!
Tulikuwa kwenye self cultivation (bringing back the scattered mind)Na hii ndio ilikuwa ratiba ya siku moja inayojirudia mara sita kwa wiki.
05:40 kuamka kutandika vitanda na kupiga mswaki/kuiga
05:50 parade/rollcall
06:00-0650 chanting/meditation
06:50-07:00 parade/rollcall na kwenda dining hall kimya na kwa mistari bila kuangalia kulia wala kushoto
07:20 chanting n giving offerings kwa milefo,na hungry ghost kisha breakfast
07:20-07:50 usafi
07:50-8:00 parade/roll call na kuingia darasani
Vipindi vilikuwa ni dk 50 mapumziko dk 10 kuanzia saa mbili mpaka saa tano na dk 50
11:50-12:00 parade/ roll call na kumatch kwa mistari iliyonyooka kwenda dining
-Kuchant kutoa offerings kwa Milefo(future buddha?), hungry ghosts na kisha kula
12:00-13:50-lunch, walking meditation na kupumzika
13:50-14:00 parade roll call na darasani mpaka saa 15:50
15:50-16:00 parade roll call na kubadili nguo
16:00-16:50 martial arts, kung fu karate tai chi nk
16:50-17:50 free time hapa ndio sasa mnaweza kupiga soga na kuendelea na martia arts gym library etc
17:50-18:00 parade rollcall na kumatch kwenda dining
18:00-18:50 chanting offerings kwa Buddha na hungry ghost na kupata dinner
18:50-19:00 parade roll call
19:00-20:50 darasani
20:50-21:50 meditation/chanting
21:50-20:00 kurudi vyumbani kwa kumatch kwenye mistari tena kimya, kuingia vyumbani kuzima taa na kulala
Ukionekana nje baada ya hapo ni majanga
Chuo kiliongozwa na sheria kwenye kila kitu, sheria ya kutumia Maji, kutembea, kuongea kukaa kula kugeuka kulala, kutandika kuvaa etc kila kitu kilikuwa ni sheria na ndio maana wengi sana walishindwa maisha yale
Hii picha ni jinsi tulivyokuwa tunakaa mstarini kila mtu na nafasi yake kwahiyo hata kama haupo nafasi yako inabaki wazi.
View attachment 274159
Huyo dogo cku 2 tu analilia kurud homeNitampeleka mwanangu huko.
kaka nimesoma hapo walikuwa wakiniita Ben Yue wewe sijui ulikuwa ukiitwa Ben nani pia mtoto wa baba wa taifa mwalimu nyerere (nadhani andrew) alikuja hapo chuoni mwaka 2002 akataka kujiunga lakini ghafla akaghairi. ni moment ambayo nilikua sana kiroho pengine kuliko wakati wowote maishani

Hahahaaah siku 2 nyingi sana.!Huyo dogo cku 2 tu analilia kurud home
Ulifikia hatua ya kupigwa muhuri?Initial/basics ni miaka miwili baada ya hapo unaenda Asia miaka mitatu, mwishoni mwa mwaka wa tatu unafanyiwa ordination kuwa official Buddhist master
Ordination si kitu kidogo nikitu kikubwa mno kwakuwa ndio unapigwa mhuri rasmi
Mwalimu wa haya makitu au!Mimi ni mwalimu