Mlutheri mwokovuNimesoma Thread yote Leo. Very Interesting History..
Kuna swali hujaulizwa Mshana, Je kwa sasa wewe ni Dini gani? Na Dhehebu gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah, unajua huo ndio umri wa kuingia ukubwanimshana jr kwa mtu mwenye 30yrs+ anaweza kujifunza na kuhitimu?
[emoji115] [emoji120] [emoji106]Mkuu mshana jr hongera sana,hii kitu nimeisoma leo yote mwanzo mwisho,imenifundisha mengi sana,ila ibada ya kuchoma hela hukuimalizia mkuu.Hebu malizia basi kaka mkubwa.
Mkuu Mshana Jr huko chuoni mlikuwa mnatumia lugha zipi kucommunicate? LUGHA ILIKUWA KICHINA
Na je ni vitu gani vilivyokufanya ufikie maamuzi ya kuacha chuo na kurudi bongo ni ivyo vidoti vitatu vyenye maumivu au kuna sababu nyingine? SIKUPENDA KUENDELEA NA ILE IMANI, KWAKUWA HATUA ILIYOFUATA ILIKUWA NI KUWEKWA MUHURI
Pia ningependa kujua bado unaendaga pale ukonga temple kusalimia? SIO UKONGA NI UPANGA, NAENDA MARA KWA MARA
Kwa haraka haraka nipesa kiasi gani inahitaji mtu awe nayo ili kusoma hicho chuo cha SA? SISI TULISOMA KWA UFADHILI ILA KWASASA SIJUI
Na kuhusu kazi za mortuary ilikua ni lazima kila mtu azifanye? NI MOJAWAPO YA PRACTICE LAKINI SIO WOTE WALIFANYA
Sent using Jamii Forums mobile app
My bad kuhusu ukonga badala ya upanga akili na mkono havikushirikiana. Sasa mkuu unaweza nambia kwann bado unaenda temple wakati ushaachana na hyo imani au ndo once a cheater always a cheater.Sent using Jamii Forums mobile app
Pale kuna shughuli za kijamii na huwa tunatoa donations mbalimbali kwa jamiiMy bad kuhusu ukonga badala ya upanga akili na mkono havikushirikiana. Sasa mkuu unaweza nambia kwann bado unaenda temple wakati ushaachana na hyo imani au ndo once a cheater always a cheater.
Na vipi changamoto za kucatchup na lugha hyo ya kichina mlipata changamoto zipi mpaka kufikia hatua ya kukijua vizur?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah mkuu na mengi ya kuzungumza na ww acha nisubir tu ile appointment yetu ya next week tuyajenge kwa undaniPale kuna shughuli za kijamii na huwa tunatoa donations mbalimbali kwa jamii
Tulishawahi kutoa wheelchairs wakati wa Mkapa na sasa kuna orphanage center pale... Zaidi kuna masomo ya meditation
Kuhusu lugha ilikuwa ni rahisi mno kujifunza kwakuwa tulipewa kila kitu cha kurahisisha kujifunza
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ndio waliharibu sanaWengi wabongo walitumia fursa ya kustoraway na Jamaa yangu nae alienda hicho chuo yuko south had Leo anafanya mishe mishe zake yuko safi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana tofauti na hawa mitume na manabii wa kileoIvi kiongozi huyu monk ambae wanadai ni millionaire maarufu sana anaitwa Mingyur Rinpoche anapataje pesa wakat Buddhist kwenu pesa si kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaha kwamba ni version za kina gwajima ila anatoa darasa sana youtube la meditation hfu naomba unitag uzi wako wa meditationHana tofauti na hawa mitume na manabii wa kileo
Jr[emoji769]
Yuko vizuri sana ila kipengele cha mali kimemshika pabayaAhaha kwamba ni version za kina gwajima ila anatoa darasa sana youtube la meditation hfu naomba unitag uzi wako wa meditation
Sent using Jamii Forums mobile app