A day in the Buddhist college

A day in the Buddhist college

Mkuu mshana jr hongera sana,hii kitu nimeisoma leo yote mwanzo mwisho,imenifundisha mengi sana,ila ibada ya kuchoma hela hukuimalizia mkuu.Hebu malizia basi kaka mkubwa.
 
Dah! Tangu nilipokua mdogo nilitamani sana kwenda kujifunza huo ustaarabu wao hasa martials arts b'se naamini hiyo inayofundishwa kwenye temple ndo the most pure & ancient form of martial arts tofauti na ile inayofundishwa kwenye hizi different martial arts schools!

Hongera yako boss Mshanajr
 
Mkuu Mshana Jr huko chuoni mlikuwa mnatumia lugha zipi kucommunicate?
Na je ni vitu gani vilivyokufanya ufikie maamuzi ya kuacha chuo na kurudi bongo ni ivyo vidoti vitatu vyenye maumivu au kuna sababu nyingine?
Pia ningependa kujua bado unaendaga pale ukonga temple kusalimia?
Kwa haraka haraka nipesa kiasi gani inahitaji mtu awe nayo ili kusoma hicho chuo cha SA?
Na kuhusu kazi za mortuary ilikua ni lazima kila mtu azifanye?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Mshana Jr huko chuoni mlikuwa mnatumia lugha zipi kucommunicate? LUGHA ILIKUWA KICHINA
Na je ni vitu gani vilivyokufanya ufikie maamuzi ya kuacha chuo na kurudi bongo ni ivyo vidoti vitatu vyenye maumivu au kuna sababu nyingine? SIKUPENDA KUENDELEA NA ILE IMANI, KWAKUWA HATUA ILIYOFUATA ILIKUWA NI KUWEKWA MUHURI
Pia ningependa kujua bado unaendaga pale ukonga temple kusalimia? SIO UKONGA NI UPANGA, NAENDA MARA KWA MARA
Kwa haraka haraka nipesa kiasi gani inahitaji mtu awe nayo ili kusoma hicho chuo cha SA? SISI TULISOMA KWA UFADHILI ILA KWASASA SIJUI
Na kuhusu kazi za mortuary ilikua ni lazima kila mtu azifanye? NI MOJAWAPO YA PRACTICE LAKINI SIO WOTE WALIFANYA

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My bad kuhusu ukonga badala ya upanga akili na mkono havikushirikiana. Sasa mkuu unaweza nambia kwann bado unaenda temple wakati ushaachana na hyo imani au ndo once a cheater always a cheater.
Na vipi changamoto za kucatchup na lugha hyo ya kichina mlipata changamoto zipi mpaka kufikia hatua ya kukijua vizur?

Pale kuna shughuli za kijamii na huwa tunatoa donations mbalimbali kwa jamii
Tulishawahi kutoa wheelchairs wakati wa Mkapa na sasa kuna orphanage center pale... Zaidi kuna masomo ya meditation
Kuhusu lugha ilikuwa ni rahisi mno kujifunza kwakuwa tulipewa kila kitu cha kurahisisha kujifunza

Dah mkuu na mengi ya kuzungumza na ww acha nisubir tu ile appointment yetu ya next week tuyajenge kwa undani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boss muda kidogo. Nina swali hapa ying yang ina maana gani.? Ina umuhimu gani.? Na kwa nini inahusishwa na Freemasons.?
 
Back
Top Bottom