A day in the Buddhist college

Inapendeza sana...

Ila baada ya kujiunga JF ukaanza mambo yako sasa... mpaka jukwaa pendwa upo...
inasikitisha sana...


Cc: mahondaw
 
Inapendeza sana...

Ila baada ya kujiunga JF ukaanza mambo yako sasa... mpaka jukwaa pendwa upo...
inasikitisha sana...


Cc: mahondaw
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapana kule nilifukuzwa baada ya kutaka kuleta ulokole na ushauri nasaha

Jr[emoji769]
 
Chant nilifanya mdomoni rohoni niliimba mapambio na nyimbo za kuabudu... Kama kuna kipindi nilikuwa karibu na Mungu basi kilikuwa kipindi hicho
Buddhism siyo dini ni kama njia unayochagua. You can be a christian but still join Buddhism. Wapo watu wengi ambao ni wakristo ila bado wanajoin hii movement. Ila kasoro ni kuwa kwenye buddhism hawaamini kama kuna Mungu na kama kifo ni mwisho wa yote. You have stages to pass through to reach enlightenment. Mdogo wangu Mshana jr. alienda kwenye branch tofauti na ninayoifahamu ila wote wana malengo yale yale. Ila hiyo ya Karate ipo uchina tu na kwa Darai Lama.
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]asante sana dada... Mimi nilikuwa fully devoted monk

Jr[emoji769]
 
Students of African Buddhist college from different countries
 
Ni kweli jeshi haliokoti kitu.

Jeshini mgonjwa hatakiwi kufanya kazi za hatari,

Yaani hapo ni heeling sasa tu!

Hebu mkuu niambie hiyo parade inakuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…