Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Duuuhh nimefuatilia step by step km consilidation acc yaani weee acha tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kupata ufahamu wa juu zaidi kuhusu elimu isiyojulikana
mshana jr ahsante saana Kwa kushare na sisi challenge pamoja na vitu ulivyokutana navyo kwenye kujifunza elimu ya budhha!!,I hope sasa tutaanza elimu rasmi,gusa sect tofaut tofaut za hii knowledge yako!!
Ahsante Kwa wakati mwingine!!
Maandalizi ya kuwa na kituo cha kwanza cha utafiti wa imani mbalimbali yameanza. Kitaitwa MULT-FAITH RESEARCH SOCIETY tutakuwa na wakati mzuri hapo
Mkuu nilikuwa nakufuatilia kwa umakn kmya kmya na utulivu mkubwa ili ufke mwisho nikukumbushe ile ahadi uliyo tupa juu ya kiapo cha damu na picha zake maana kuna makundi duniani makubwa dunian huwa wana fanya hcho kiapo kama YAKUZA etc.
Hiki si kituo cha kiimani bali cha utafiti