A day in the Buddhist college

A day in the Buddhist college

Kwa hiyo kaka kwa kipindi hiko ulipokuwepo huko chuoni ungekufa ungekuwa upande wa kutoamini katika Mungu mmoja.Ungekuwa upande wa lucifer kama sio satan.
 
Kwa hiyo kaka kwa kipindi hiko ulipokuwepo huko chuoni ungekufa ungekuwa upande wa kutoamini katika Mungu mmoja.Ungekuwa upande wa lucifer kama sio satan.
Hapana ningekuwa upande wa imani yangu ya asili kwakuwa sikuwahi kuiacha
 
Mkuu mshana je elimu hii unawapatia pia na watoto wako , kama ni ndio huoni kwamba wanaeza bobea kwenye haya mambo na wakaacha kumwabudu Mungu wa kweli ?
 
Mkuu mshana je elimu hii unawapatia pia na watoto wako , kama ni ndio huoni kwamba wanaeza bobea kwenye haya mambo na wakaacha kumwabudu Mungu wa kweli ?
Mungu wa kweli huabudiwa kwa kweli ya dhati na waliopitia changamoto kama hizi kwakuwa wanaona zaidi ya wengine na hawayumbishwi na manabii na mitume bandia
Mimi leo hii ninajua kwa hakika kwanini nimeamua kusimama na Mungu aliye hai... Ninajua kwa hakika kuhusu hili tofauti na wengine wengi
 
kweli kabisa an awakened
 
Jet Lee ni monk aliyehitimu?
a2f195496caadc7775a3bf7dbad4b1a3--shaolin-monastery-kungfu.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yale ni kweli lakini yamekuwa exaggerated kunogesha story ishu ya kuvunja tofali la kati huku la juu na chini kubaki salama ni kweli kabisa ma majasusi wengi sana kipindi cha nyuma walitumia sana hiyo style kutekeleza mauaji ya watu mbalimbali
Unapigwa kofi nje hakuvimbi wala kuacha alama lakini ndani kunavujika vibaya kabisa hiyo style ni lethal weapon na hata Bruce Lee myth zinasema yule aliyemuua alikuwa bingwa kwenye Tai chi
Lee aliuawa na mchepuko wake Betty Ting Pei (actual perpertrator) na kuna conspiracies behind this.
 
Back
Top Bottom