Kwenye ndoa: Mwanamke anatakiwa apende zaidi ya mwanaume ili ndoa idumu. Akubali kuvumilia mtu kuchelewa kurudi, kutokula chakula alichopika, kufuliwa soksi zinazonuka, kumegwa bila hata ya maandalizi na vitu kama hivyo
Kwenye uchumba: Kupenda kuwe sawa..
Kwenye infidelizesheni: Mwanaume anatakiwa apende zaidi ili aweze kumpangishia infidelee nyumba, kumnunulia gari na kumfungulia akaunti ya kuweka mafuta kwenye gari, kupewa penzi la kiwizi wizi ambalo ndio tamu kuliko la halali,
Listi itaendelea shortly!!