George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Nimesikiliza the guy is very smarter upstairs .Daaaah, Dizasta Vina anaachia Albamu lakini hakuna hata uzi mmoja unaozungumzia!!!?
Okay, basi ngoja niingilie kati, maana hizi dharau sasa!
Siku ya jana (Tarehe 6 Januari mwaka 2023), Dizasta Vina AKA Black Maradona ameachia albamu yake mpya inayokwenda kwa jina la A Father Figure (AFF).
Albamu ina nyimbo 20, mpaka sasa albamu inapatikana kwa mfumo wa softcopy, albamu inapatikana kwa kiasi cha shilingi 10000 tu, unaweza kutembelea akaunti ya Dizasta Vina katika mtandao wa X(zamani twitter) ili kupata taarifa ya namna unaweza kupata albamu hii.
Akaunti ya Dizasta Vina (Twitter)
View attachment 2864608View attachment 2864610
Daaah!Nimesikiliza the guy is very smarter upstairs .
Mkuu this is for brilliant Album .Daaah!
Watu wabinafsi sana, yaani mkongwe umepata wasaa wa kumsikiliza Dizasta halafu umekaa tu kimya?
“Fuvu limeshiba mautundu kwenye kichwaMkuu this is for brilliant Album .
Hata Disasta analijua hilo jambo.
Hivi unajua kuwa, kuna watu hawajui kama Hatia VI tayari inapatikana kwenye platform(s) zote kwasasa.Daaaah, Dizasta Vina anaachia Albamu lakini hakuna hata uzi mmoja unaozungumzia!!!?
Yaani watu wanamjadili tu Mwijaku wakati Dizasta vina ameachia albamu!!!?
Okay, basi ngoja niingilie kati, maana hizi dharau sasa!
Siku ya jana (Tarehe 6 Januari mwaka 2023), Dizasta Vina AKA Black Maradona ameachia albamu yake mpya inayokwenda kwa jina la A Father Figure (AFF).
Albamu ina nyimbo 20, mpaka sasa albamu inapatikana kwa mfumo wa softcopy, albamu inapatikana kwa kiasi cha shilingi 10000 tu, unaweza kutembelea akaunti ya Dizasta Vina katika mtandao wa X(zamani twitter) ili kupata taarifa ya namna unaweza kupata albamu hii.
Akaunti ya Dizasta Vina (Twitter)
View attachment 2864608View attachment 2864610
Inaonekana unajua vingi sana.Disasta Vina is a far most concuous rapper kwa wakati wa sasa. Hamna mtu mwenye style ya hardcore anafanya kama yeye.
Dizasta ana uKiranga fulani hivi kwa head.Kwenye hatia sita kamhoji sana Mungu
Hahahhahaha hapana sema jamaa ni akil kubwa, na wa hv huwa tunawaona wanzingua kumbe ndo kama clouds wanafungua dunia kuwa unachotaka.Dizasta ana uKiranga fulani hivi kwa head.